Recent content by baby22

  1. B

    Moods kwa madem ni nini maana yake?

    hicho kitu ni kweli mdau ila me nafikiri ni vitu ambavyo sometime huwa tunawaza vinasababisha hali hiyo,
  2. B

    Katibu CCM kata ya maili moja kibaha ajiunga na CHADEMA

    karibu kwenye harakati mkuu"
  3. B

    Daa kweli kupenda sana jamani ni hatari

    aaaaaaaah jamani focus kwanza pepa then utasolve baadae usiwe na wasi wasi,
  4. B

    Stanford, chuo kilochozaa Google, Yahoo, HP etc wanatoa kozi za bure.

    asante mkuu! sasa ukimaliza kozi wanatoa cheti? au unafaidika kwakuzoa ujuzi tu?
  5. B

    Mwanamke!

    aaaah jaman maliza basi
  6. B

    usexy unanitesa

    kama unampenda jaribu kumnyoosha hyo tabia.
  7. B

    Jamani naombeni msaada mwenzenu tigo imenishinda!

    ni kweli bwana huu mtandao sio sijui wateja wamewazidi kiwango wanashindwa kuwamanage
  8. B

    Vibosile + vigogo vinavyoharibu mabinti

    jaman hao maboss kweli wasumbufu yaani husaidiwi mpaka na wewe utoe kitu jamani tutafika kweli mmmh sijui!
  9. B

    Aunty Ezekiel atia kinyaa kwa kuvaa nusu uchi Kigali-Rwanda

    mmmh jaman kweli anatia aibu wajirekebishe basi
  10. B

    Kweli uvivu kipaji

    da nimeamini hata mimi uvivu una cost, hahahahahahaha!
  11. B

    Mpeni ushauri mwanaume huyu

    da mkuu me naona kaa nae chini na umuulize tatizo ni nn huenda ana kinamsumbua
  12. B

    Mmh!, Lulu..... noma

    kweli mkuu! :lol:
Back
Top Bottom