Mmh!, Lulu..... noma

Mmh!, Lulu..... noma

dah roho inaniuma sana mtoto mdogo kama huyu hata hana muelekeo mzuri wa maisha yeye anajiona anchofanya ni sahihi ila foolish age inampa tabu pia umaarufu umemlevya kila anachofanya anaona nia sahihi sijui ni nani alimfundisha haya mambo tushampoteza hapo ni Neema ya Mungu tu iingilie kati vinginevyo hakuna kupona.
 
hayahuyusasanimkoreaaumchina.jpg

attachment.php
 
akifunga funga hayo manywele ya bandia
na maguo ya nusu uchi kanajiona nako ni kakubwa
looo, uzazi huu.
 
Muda si mrefu atakua anaigiza picha za ngono (kama bado hajaanza)
 
kwa hisani ya JF naomba nitumie hiyo picha kama avatar yangu (kuonesha huruma yangu kwa mtoto huyu)
 
nasikia kuna MP mmoja anakitambi kikubwa amemnunulia nyumba huyu binti maeneo ya kimara.jamaa kafika bei amemfanya nyumba ndogo
 
Back
Top Bottom