Moods kwa madem ni nini maana yake?

kelnmyg

Member
Jan 31, 2012
28
15
Hivi kwanini madem wanakuwa na moods? mara wako sawa na vicheko vingi mara gafla wanakuwa butu kabisa, kimya, huzuni, mawazo! ni kwamba hawajiamini au mambo mengi kichwani? Waheshimiwa wadau...Nawakilisha!
 
Wanawake wanapishana. wengine ni tabia tu, wengine wanalazimishwa na mazingira.
Kwanza kabisa wengi hawapendi kuitwa dem, hiyo inaweza kua sababu ya kwanza.
 
hicho kitu ni kweli mdau ila me nafikiri ni vitu ambavyo sometime huwa tunawaza vinasababisha hali hiyo,
 
Hivi kwanini madem wanakuwa na moods? mara wako sawa na vicheko vingi mara gafla wanakuwa butu kabisa, kimya, huzuni, mawazo! ni kwamba hawajiamini au mambo mengi kichwani? Waheshimiwa wadau...Nawakilisha!
...cha ajabu wa kwangu akiwa ktk mood mbaya inayompelekea kuwa na ka-angry face,nikimtekenya tu chali:poa
 
Kunasiku wanakuwa wameumia wanatoka damu mdomoni usiwalaumu wasipo cheka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom