Recent content by Baby shangazi

  1. B

    Interview ACB

    mimi waliniambia watanipigia mwisho wa wiki hii kunipa majibu na kuhusu malipo sijajua but walisema ni negotiable hawakuwa specific ingawa waliniuliza napenda nilipwe ngapi.
  2. B

    Interview ACB

    yap,walinipgia j3 jion! Now niko hapa ofcn kwao ndio nawasubiri.
  3. B

    Interview ACB

    mimi wamenipgia jana jion niende kwenye interview kesho ubungo plaza, niko safarini kuelekea huko maana nilikua madongo kuinama huko sumbawanga!
  4. B

    Maajabu ya udom

    sio ajabu coz haijawah kuwa na watu wengi, mwaka wetu walikua kumi tu,miaka iliyofuata idadi ikazidi kupungua!
  5. B

    Mnyika huwezi vita binafsi na Kikwete

    mtu mzima hatishiwi nyau, toeni fundisho kwanza kwa wezi wa EPA na twiga wetu kule mbugani.
  6. B

    Movie zangu kali za utotoni!

    striker, air force one ya harrison ford, the mask ya Jim Carrey, on the line of duty ya Don Yen, Rambo 1,2&3, Street fighter, Hard target za Van Damme bila kusahau hard way , pia scorpion ya dolf lundergreen! Nitarudi kuleta nyingne zaidi! Enz hzo vdeo moja mtaani, mchana kula then kulala usiku...
  7. B

    Movie zangu kali za utotoni!

    inaitwa delta force, chuck norris ndan ya nyumba!
  8. B

    Taarifa kuhusu vyeti kwa graduates wa UDOM 2011

    hajisomi babu mwamfupe, tumekula tuition fee hewa?jaman hebu waache uswahili, wanataka kubambika madeni tu! So kama m2 hakupewa risit kama mie inakuwaje?kipind kile cha registration walitupa daftar tutafute majna tuliyoandka wakat tulpokusanya pay in slp! Watatuua kwa hila zao
  9. B

    Taarifa kuhusu vyeti kwa graduates wa UDOM 2011

    wapuuzi sana, kama clearance ninayo risit za kaz gani?n wametoa sababu kwann tufanye clearance tena? Nawadai risit zangu za third year semista ya 2, watupe 2 haki yetu sio longolongo nyingi! Pumbav zao sana hao!
  10. B

    Maajabu ya namba '3'

    standard ni milo mitatu, but inategemea uwezo wako, hata mara kumi waweza kula!
  11. B

    Maajabu ya namba '3'

    sijui nani aliyegundua style hiyo
  12. B

    Maajabu ya namba '3'

    Habar wanajamv, nimejiuliza kwann namba tatu inatumika sana kwenye mambo mbalimbali lakini sijapata jibu! hebu jionee mwenyewe 1. Ushindi mzur katka soka ni goli tatu kwa sifuri. 2. Mara nyingi ukiumwa unapewa dawa na unatakiwa kunywa kutwa mara 3 3. Kila siku tunashauriwa kula milo mitatu...
  13. B

    Tupia lako ulilosoma kwenye gari...

    toto baya zuri kwa mama yake!
  14. B

    Tupia lako ulilosoma kwenye gari...

    toto baya lakini zuri kwa mama yake!
  15. B

    Majina ya ajabu...

    mwingine Gwambutolwe, mwafindunde, jongwelo, sakapawa, mshongosho
Back
Top Bottom