Interview ACB

paasing tu maana hawa jamaa hata kukutoa kwenye site yao umekosa hawana habari hiyooo pole sana ila usife moyo komaa..
 
yap,walinipgia j3 jion! Now niko hapa ofcn kwao ndio nawasubiri.

mkuu mkuu! lete habari huko, jamaa wamesema watatujuza lini mkuu! pesa wanatoaje kwa loan officers, hongera kaka mana hata kuitwa interview kwa sasa mtu unashukuru kuwa hata cv zako kuna watu wanaziangalia nao, mana si unajua urasimu wa sasa
 
mimi waliniambia watanipigia mwisho wa wiki hii kunipa majibu na kuhusu malipo sijajua but walisema ni negotiable hawakuwa specific ingawa waliniuliza napenda nilipwe ngapi.
 
mimi waliniambia watanipigia mwisho wa wiki hii kunipa majibu na kuhusu malipo sijajua but walisema ni negotiable hawakuwa specific ingawa waliniuliza napenda nilipwe ngapi.

ngoja tuwasikizie hii week watasemaje aisee! sasa wakikupingia au wakinipigia tufahamishene humu humu kwenye jukwaa letu la waganga njaaaaa
 
Kati ya bank ambazo zinalipa vibaya ukiachilia na Tanzania Postal Bank basi hii ndo inafuata.
Bank teller jiandae kupokea sh 350,000 tu kwa mwez.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom