Interview ACB | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Interview ACB

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by ansy, Sep 2, 2012.

 1. a

  ansy New Member

  #1
  Sep 2, 2012
  Joined: Jul 29, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau nilikua nauliza kama kuna mtu yeyote ana updates za watu kuitwa kwenye interview AKIBA COMMERCIAL BANK
   
 2. m

  mmjunior Member

  #2
  Sep 2, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona watu tayari wapo kazini we unasubiri interview. Kalagabao
   
 3. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Wewe unatoka Moshi?
   
 4. m

  markj JF-Expert Member

  #4
  Sep 2, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  interview imefanyika jana pale ubungo plaza! na waliwapigia watu simu ijumaa jioni kuwa j1 waende kwenye interview ubungo plaza branch, na imefanyika pale! tena walikuwa na post za ziada za loan officer, kwani wewe hukupigiwa simu? ijumaa au.
   
 5. m

  markj JF-Expert Member

  #5
  Sep 2, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  acha uongo! jana ndo wamewafanyia watu interview mchana ubungo plaza
   
 6. m

  markj JF-Expert Member

  #6
  Sep 2, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  hivi hawa jamaa wanalipa sh ngapi kwa mabank teller na maloan officer wao, mana mimi niliwaambia mil1 waliponiuliza wakabaki wanacheka tuu jamani.
   
 7. m

  markj JF-Expert Member

  #7
  Sep 2, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  mkuu hawa jamaa wanauchaga nini, mana hata board of directors na management team naona wamejimwaga wao sana,jaribu kufungua web yao afu angalia utaona! wakikuonea huruma sana labda uwe umetokeatokea tanga ivi watakufikiria hapo.
   
 8. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #8
  Sep 2, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Wanataka wachapa kazi!! Kazi za benki si lelemama!!
   
 9. c

  christmas JF-Expert Member

  #9
  Sep 2, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 2,605
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180
  mkuu si ungekua nao intouch?
   
 10. m

  markj JF-Expert Member

  #10
  Sep 2, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  sasa wachaga wachapa kazi au wezi! hahaha, kazi tembo malipo sisiminzi bana! hapa tu ndo bank wanaponichosha mkuu
   
 11. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #11
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Ndio maana yake; wanachaguana wao kwao hawana hata aibu!!
   
 12. m

  markj JF-Expert Member

  #12
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  ile bank yao inalipa fresh au? mana kama hizo nafasi za bank teller wamezisifiia na kudai watatoa wage nono na packages nyingine! au ndo danganya toto
   
 13. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #13
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Fanya sensa ya waajiriwa wengi wa benki anzia BOT hadi commercial banks and non-banks au niseme financial institutions zote (bank and non-banks) wachaga ni waajiriwa wakubwa? Waliowaajiri hawakujua kama ni wezi? Mafuru na deal zake ambazo NBC imepata hasara ya bil 26 naye ni mchaga? Tumia data sahihi? Je wezi wa EPA wachagga ni wangapi? na ile DEEP Greedn, Kagoda na mengine mengi, wachaga wako wangapi pale? Ni vema uwe unatumia evidence based research. Ila tu ni msemo kuwa wachagga ni wezi kwa kuwa walionekana wana maendeleo tangu awali!!! Ni watafutaji sana, hata akiajiriwa na mshahara mil. 10 but ni lazima na ujasiriamali na biashara hata ka bar tu!!!

  Nilisoma zamani sana shule za moshi (enzi hizo zinawika secondary za seriali kule kina Old Moshi, Lyamungo, etc) na niliona kabisa maendeleo yao ni tofauti na nilipotoka maana hata maji ya bomba na shule nzuri ambazo zina madawati (no kukaa chini). Nilirudi huko kikazi miaka mitatu iliyopita na kila nyumba hadi kule vijijiji ndani kuna umeme, maji na barabara!!!! Shule kila kilometa moja na zote zina waalimu na madawati!!! Sasa hawa ni wezi au ni model? Niliapa kuwa ni lazima nifanye kama wachagga na kwa kuwa kijijini kwetu hakuna maji wala umeme na sijui ni karne ipi vitafika basi nililazimika kuhamisha wazazi wangu miaka 15 iliyopita wakaishi maisha ya mahitaji muhimu kwa kuwatafutia eneo lao kabisa!!! Ndiyo njia peekee ya kuwaenzi!! Miaka 50 na number hakuna huduma za jamii. Wachagga wana vyama vyao vya kukarabati vijiji vyao na kila wakati wanafanya mikutano mijini. I appreciate chaggas!!! Bora uige mazuri ya maendeleo kuliko kuponda na kuwaita wezi, wanajituma.
   
 14. m

  markj JF-Expert Member

  #14
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  wanajituma lakini na wizi juu tena kwa sana, wanajituma kwa wizi.
   
 15. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #15
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Pole sana!!!!!!! Toa evidence maana tunajua wezi wakubwa wa nchi hii ni mafisadi na wako katika Chama Cha Mauji Tanzania!!! Wezi wengine ni vibaka tu, makambare na mapapa si mnao nyie? Mbona katika hao hakuna wachagga? Nipe facts!!!
   
 16. m

  markj JF-Expert Member

  #16
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
   
 17. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #17
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
   
 18. m

  markj JF-Expert Member

  #18
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
   
 19. B

  Baby shangazi Member

  #19
  Sep 4, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mimi wamenipgia jana jion niende kwenye interview kesho ubungo plaza, niko safarini kuelekea huko maana nilikua madongo kuinama huko sumbawanga!
   
 20. m

  markj JF-Expert Member

  #20
  Sep 4, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  kwaiyo wewe unafanya interview j5 au? simu umepigiwa j3 au? mana post yako muda wake hauendi sawa la computer yangu basi nakuwa ngumu kugundua
   
Loading...