Tupia lako ulilosoma kwenye gari...

Tupia lako ulilosoma kwenye gari...

Kusinzia raha kuliko kulala.
Kuku hamu mboga dagaa
 
Ongea na Mshua!!
Coaster ya Kimara-Posta
 
Yatima hadeki!!
Mwanyamala - Kivukoni
 
Kweli tu masikini kweli, naona misemo mingi ni kujiliwaza katika matatizo tuliyonayo.
 
Back
Top Bottom