Maajabu ya namba '3' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maajabu ya namba '3'

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Baby shangazi, May 29, 2012.

 1. B

  Baby shangazi Member

  #1
  May 29, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Habar wanajamv, nimejiuliza kwann namba tatu inatumika sana kwenye mambo mbalimbali lakini sijapata jibu! hebu jionee mwenyewe
  1. Ushindi mzur katka soka ni goli tatu kwa sifuri.
  2. Mara nyingi ukiumwa unapewa dawa na unatakiwa kunywa kutwa mara 3
  3. Kila siku tunashauriwa kula milo mitatu yaani asubuh, mchana na jion.
  4. Katika uandikishaji wa majina sehem mbalimbali yanaandikwa matatu yaani la kwako,la baba na la babu.
  5. Kwenye mashindano mengi, ushindi mzito huishia namba tatu, mfano michezon, darasani n.k
  6. Hata katika kuingiza neno la siri (password) mwsho mara 3, mfano ukikosea kuweka password kwenye ATM, kadi inamezwa
  7. Hata kupima maradh mbalimbal hasa ukimwi inashauriwa kupima mara 3 ili kupata majibu ya uhakika.
  8. Kujiunga kidato cha tano n lazima walau uwe na credit 3
  9. Hata katika kuanza shughuli au tukio mfano kwenye riadha, wanahesabu mpaka 3 ndipo mbio huanza.
  10. Hata kumpongeza mtu au jambo katika hafla mbalimbali mara nyingi hupigwa makofi matatu.
  Kwa leo inatosha, na nyie ongezeni myajuayo kuhusu namba 3.
   
 2. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Zawadi mara nyingi hupewa washindi wa3 wa kwanza.
   
 3. B

  Baby shangazi Member

  #3
  May 29, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sijui nani aliyegundua style hiyo
   
 4. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #4
  May 29, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Dah hii nimeipenda sana
   
 5. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #5
  May 29, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Hata jig jig bao 3 saaf
   
 6. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #6
  May 29, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  milo mzee inatakiwa izidi mara tatu sio tatu kamili..
   
 7. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #7
  May 29, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,861
  Likes Received: 1,301
  Trophy Points: 280
  State organ of govt:
  1 executive
  2 legislature
  3 judiciary
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  May 29, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Hata tmk waliimba tatu bila,na hata advance point kali ni point 3 na ccm nao wanachagua mafiga matatu,na juma tatu inakuwa mbaya!
   
 9. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #9
  May 29, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  nilijua tu kuna mtu atasema haya..
   
 10. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #10
  May 29, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,861
  Likes Received: 1,301
  Trophy Points: 280
  Baby shangazi we mkali.
   
 11. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #11
  May 29, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  duuu inaonekana we ni mkali wa civics enheee.....
   
 12. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #12
  May 29, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,861
  Likes Received: 1,301
  Trophy Points: 280
  Chuo ni miaka mitatu.

  Nafikiria nyingine nikipata narudi.
   
 13. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #13
  May 29, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,861
  Likes Received: 1,301
  Trophy Points: 280
  Before EAST AFRICA COMMUNITY iliundwa na made by 3 countries:
  1.TANZANIA
  2.Kenya
  3.Uganda
   
 14. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #14
  May 29, 2012
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,424
  Likes Received: 3,786
  Trophy Points: 280
  Combination za form 5 ni masomo 3... PCM, HGL etc
   
 15. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #15
  May 29, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Siku imegawanyika sehemu tatu. asbuhi, mchana, jioni.
   
 16. B

  Baby shangazi Member

  #16
  May 29, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  standard ni milo mitatu, but inategemea uwezo wako, hata mara kumi waweza kula!
   
 17. Asu tz

  Asu tz JF-Expert Member

  #17
  May 29, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 316
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  naul za daladala ni mia 3.
   
 18. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #18
  May 29, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,305
  Likes Received: 1,230
  Trophy Points: 280
  hata kwa afya inashauriwa kuwa na wake watatu.!!!
   
 19. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #19
  May 29, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Utatu mtakatifu?
   
 20. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #20
  May 29, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  CCM ina herufi tatu, ina maneno matatu!
   
Loading...