Nimewahi kukubali siku hiyohiyo kwasababu nilikuwa namuelewa tu mwanetu but kama mtu sijamuelewa namchana kabisa kuwa siwezi kupoteza muda wa mtu wala sitaki kudanganya
ndio kwanza ni wiki 3 tu zimeisha hilo swali sizani kama naweza kujibu kwa usahihi maana nilijimaliza kwake nafunguka kila kitu namuona kama bega la kuegemia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.