Short course gani ilibadili maisha yako?

Short course gani ilibadili maisha yako?

Kwa namna gani mkuu
Kujua formulars na functions muhimu ambazo zinaweza kuwa zinatumika kila siku kama ni sehemu ambayo mtu anafanyia kazi..Angalau uifahamu canvas ya excel..kuelewe kufanya manipulation ndogo ndogo za kujumlisha,kutoa,kugawanya, kutoa.
Na baadhi ya formula muhimu.
 
Ko tumekubaliana short Course ni udereva wa NIT, VIP
 
Back
Top Bottom