Ni msoto gani wa kimaisha uliowahi kuupitia, uliokufanya ujue maisha si lelemama?

Ni msoto gani wa kimaisha uliowahi kuupitia, uliokufanya ujue maisha si lelemama?

Mwaka 2016 tumetoka moro kwenda kwa mganga karbu na muhuze panaitwa kwafungo. Hapo hatuna hata mia tukatembea kwa mguu had kijij cha tatu njian tukaingia shamba la michungwa tukaomba machungwa tukafanikiwa kufika kwa mganga kutatua matatzo yetu ya kiuchumi tulikaa siku 3 kwa mganga kimbembe kurud moro sasa tupo wawili naul tuna ya mmoja. Tukapanda basi la simba, hapo mm nikawambia nauli naenda lipia moro wakakubali ile kufka moro nauli sina ikanibid nimpe konda kasimu kangu ka tecno,. Nikamwambia kesho kutwa nakuletea nauli yako ndio ikatoka iyo.. Mambo yalzid kuwa magumu tulikaa cku 2 bila ya kula.. Mganga akaanza kupga simu tumtumie hela eti tumeshafanikiwa tukawa hatupokei simu na still mambo yalizidi kuwa magumu., SITOSAHAU
 
Kukaa moro na kushindwa kula hata kama hauna pesa ni uzembe wa hali ya juu . Kwafungo napajua😄
 
2. Msoto ulizd nlipgika sn sku moja nikiwa natembea maeneo ya kimara, nikakuta na jamaa mmoja msajiri line nikamuomba nifanye kaz iyo akanambia kesho asbh sn niwahi ubungo riverside ndo ofs ilipo, kesho yake nliamka alfajiri nikatembea toka goba mpk ubungo riverside kweli wakanpa kaz na smart ya kupgia kaz nikaanza kaz nlipga mguu sn nadhan ubungo yote nliimaliza na hapo bado natakiwa kurud goba line tulikuwa tunasajiri bure so hakuna hela, kmbembe smart ya watu nliuza kutatua shda zng jamaa aliniandama sn at last akanpeleka polisi nikapewa kosa la kudaiwa hela yny thaman sawa na cm kwa mara ya kwanza nlikuwa mahabusu watu tumerundkwa kama nyanya watu wana vidonda vnanuka, ndoo ya mavi iyo hapo mtu anakunya uku mnakula hapo, ubabe kama wote nliteseka hakuna wa kunihurumia nlimaliza sku 3 akaja ndugu yng mmoja akanitoa, mwanamke wng akasema hataki kuniona na nisrud home, ila nlirud akawa hanisemesh nlifka usku toka polis na nikalala njaa siijui kesho yng na degree yng ya udsm hakuna aliyenihurumia.
mkuu kwa sasa unaendelea je?
 
Hiii yangu mwenyewe kabisa.........

Sin moja wala mbili saa SITA mchana nakamatwa.
Kosa wizi wa gari,,, wezi wamekatwa huko nikatajwa Mimi na Mr.

Ilikuwa hivi Mr ana duka la spare za magari aina zote used na mpya sasa alinunua spare used sasa kumbe dereva alifanya anavyojua ( hapa naweka code) basi sprare zilifika dukani zikanunuliwa maisha yakaendelea!!!!!
mwenye gari ni boss mmoja hivi anafahamika tz nzima. Mchongo huo ulifatiliwa mpaka tukakamatwa....
Picha linaanza muda nakamatwa Mr tayari yuko mahabusu tajiri Hana maelezo anataka gari nzima huku sisi tulinunua engine weweweeee hawa maboss wa kibongo waone kwenye tv tu ila usiwe na msala nao..........
Huku akiwa na ushahidi na document zote alizonunulia gari plus maelekezo toka juu.
Nikiwa chini ya special escort nenda mpka benk kwangua vihela vyote, nyumba ya kuishi ilienda, viwanja vyote, tugari thamani zote za ndani duka looote lilipigwa mnada ndo vikapatikana vihela kiasi tajiri akapoa kidogo ,,ndugu yangu ana connection sasa niliweza kupata mkopo benk mkubwa kwa haraka ndani ya masaa24 pia ikapatikana pesa tajiri akazidi kupoa....... Mr akatoka na tukaenda kuandikishana tarehe ya kulipa lile deni haya yote yalikuwa yakifanyika chini ya uangalizi maalum...
Basi Mr alivyotoka hatuna pa kwenda yaani maisha yamepinduka.......
Nakumbuka tulienda kwa mjomba wangu. Basi tulipewa pesa kiasi ili mume wangu aondoke nibaki Mimi uncle akatupa nyumba ilikuwa haijaisha vizuri!!!!!!! Iseee nakumbuka siku Mr anaondoka hatukuweza hata kulombana Mimi kisimi hakikusimama wala Mr dudu lake lilikuwa limelala tu!!!!
Mr alikimbilia mpanda, tulisota sana hapo nimechwa na mimba.
Nilikuwa na smart phone Mr aliniachia nakumbuka ilikuwa black berry kama sijakosea. Mbona nilifanya utapeli wa kujifanya Nina wadada wa kazi!!!!! Yaani unatuma laki ya udalali na nauli nakutumia msichana wa kazi. Nikawa naenda stand naangalia wale wasichana wanaolanda landa nawaunganisha mi nachukua naipata Hela ya kula maana hapo pia nilikuwa na watoto 2

Aisee nimekula sana ugali na majani ya viazi,,, nilishinda njaa na mimba yangu!!!!! Kuna muda nilikuwa nasikia njaa mpaka natapika...Marafiki wote walitukimbia.
Basi muda ukapita tajiri kuja na kukuta ile Hali mjomba alimpa kiasi kadhaa akaondoka...
Hiyo mimba sikwendaga hata clinic manes walichamba lakini walinizalisha!!! Bahati nikapata watoto mapacha wawili na nilizalishwa na mganga mkuu wa hospitali moja hivi ilikuwa kama bahati na alinihudumia Mimi na watoto maana baada ya kuzaa tu nilianza kulia mwenyewe kwa uchungu.
Nakwambia hivi hawa watoto walianza kula na miezi 3,,,,, nilikuwa nawalambisha vimchuzi na chai ya rangi nawapa kuwapoza njaa...,, maziwa yalikauka yenyewe kwa mawazo.
Bwana weweee nikaona nimfate Mr huko huko huwezi amini yaani kenge wangu kule alikuwa anauza duka na kushusha mizigo huku analima!!!!!!??
Basi baada ya miaka miwili Mungu alianza kufungua riziki zake.
Mr alilima mpunga na kupata zaidi ya magunia 100.
Akarudi kwenye madini na kuingia mpanda mining huko mambo hayakuwa mbaya sana tulisota miaka 3 na pesa ya mwisho kumlipa huyo boss niliipeleka mwenyewe mkononi
Yaani nilipanda bus.
Maisha yalianza kunoga Tena mpka tukarudi manispaa kuendeleza tulipokwama.
Ile mimba ya mapacha sasa ni wakubwa miaka 9.
Mpaka sasa ukiniuliza kutendwa na maisha hii kiboko na ilinipa ukomavu mkubwaaaa mnoooo.........
Pole sana , una ukomavu wa kutosha sasa
 
Nakumbuka nilifanya kazi Kiwanda cha mbolea ya chumvi unabeba viroba vya kg 25 vitatu unapeleka juu kama goroa.

Ebwan ile kazi nilikuwa Nikiludi nyumbani hata kunyanyua kopo la kuogea nilishindwa Naubishi wangu wote ila Sikutoboa Ata Mwezi Nikasanda.

Watu Walikuwa Wanapena Moyo tu Pale Kwamba Hii kazi Ukiifanya Kwa Week Moja Mwili Utazoe Utakaa sawa Utakuwa Unaona Kawaida Komaaeni Vijana Apa Ni Kazi kazi.

Ulikuwa ni Mwendo wa Mpera Mpera Msobe Msobe Hakuna Kupumnzika.

Toka hapo sikurudi tena ile kazi Kiboko kwanza inachubua mwili,
Pia nzinto, Ujira/Posho yake ndogo Sana Per day.

Daah! haya maisha kuna watu wanateseka.
 
Nakumbuka tuli pigwa msoto mkali, jamaa yangu fulani aka shauri tuwe waganga wa jadi.

Piga sana zoezi la kupandisha mizimu na majini, still mteja kaja ana ona kazi kutoa elfu 2 ya ramli

Ili bidi tugawane vitambaa vya kazi, kila mtu akauze anapo jua.
Lakini,akili Yako Hadi Sasa bado ni ya kiganga .
 
Nakumbuka tuli pigwa msoto mkali, jamaa yangu fulani aka shauri tuwe waganga wa jadi.

Piga sana zoezi la kupandisha mizimu na majini, still mteja kaja ana ona kazi kutoa elfu 2 ya ramli

Ili bidi tugawane vitambaa vya kazi, kila mtu akauze anapo jua.
Ushakuwa hadi tapeli we tapeli.

Nilijua life sio poa siku nilipoyatimba alafu kila mtu akala kona nikabaki na dipresheni zangu na sijui natatuaje hiyo changamoto ambayo ilinigharimu sana na hiyo hela kwa muda huo sikuwa nayo na sikujua niipate wapi. Hapo ndio niliamini jumla kuwa msaada sio haki yako na usipojipambania kuishi maisha yako hakuna atakaeyaishi.
 
Niliamua kutembelea kwny vijiwe ili npate kibarua, nkafka mbez kabla stand haijajengwa nikakuta mjuba anaosha magari hasa daladala nikamuomba kaz akasema poa nlipga kaz sina hata uzoefu njaa yng, mvua, kiu, dhiki vyote vyangu mara makonda wengne wananpa uniforms zao nifue na hawanpi hata posho ilipofka jion mjuba ananpa buku 3 nikaanza kutembea kurud goba kwa mguu, nkanunua maandaz ya jero, juis azam ya jero buku 2 nkampelekea mwanamke na tulikuwa na mtoto mdogo, kesho mapema sn nkaamka nikatembea mpk mbez nikaomb tena kuosha magari nlipga kaz ilipofka jion mjuba anasema hana hela kwan hata bosi wake anamdai nkasepa njaa,kiu,uchovu,joto,mawazo, stress vyote vyangu nlipofka nkamwambia mwanamke nimekosa hela akavuta mdomo hakunijari ilikuwa saa tatu usku,akapka akala yeye mtoto mi nikalala njaa hakuna aliyenihurumia mwanamke alikuwa mwl so hela alikuwa nayo nliteseka sn na hapo nina degree. NALETA NYNGN YA PILI BABU KUBWA SUBIRINI..
ukileta usisahau kunitag mkuu
 
Nakumbuka nilifanya kazi Kiwanda cha mbolea ya chumvi unabeba viroba vya kg 25 vitatu unapeleka juu kama goroa.

Ebwan ile kazi nilikuwa Nikiludi nyumbani hata kunyanyua kopo la kuogea nilishindwa Naubishi wangu wote ila Sikutoboa Ata Mwezi Nikasanda.

Watu Walikuwa Wanapena Moyo tu Pale Kwamba Hii kazi Ukiifanya Kwa Week Moja Mwili Utazoe Utakaa sawa Utakuwa Unaona Kawaida Komaaeni Vijana Apa Ni Kazi kazi.

Ulikuwa ni Mwendo wa Mpera Mpera Msobe Msobe Hakuna Kupumnzika.

Toka hapo sikurudi tena ile kazi Kiboko kwanza inachubua mwili,
Pia nzinto, Ujira/Posho yake ndogo Sana Per day.

Daah! haya maisha kuna watu wanateseka.
Hapo shida ni ujira mdogo ndio maana kazi ilikuwia ngumu
 
Back
Top Bottom