Recent content by Baby Angel2012

  1. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sina raha yoyote kuupokea huu mwaka 2013

    lol...........
  2. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Husband Material Anatafutwa

    Hello wana JF; Asanteni sana kwa comments zenu.Nilikuwa introduced hapa na rafiki yangu. Na akaniambia hapa kuna watu wenye mtizamo chanya na wanasaidiana sana.But this has proved wrong based on the hatred messages am receiving.Najua kwa wanaume wengi mlioko upande huu,maana yake...
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Husband Material Anatafutwa

    Asante sana Yericko
  4. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Husband Material Anatafutwa

    Mimi ni mwanamke,hard working,independent,loving,caring.Nimeajiriwa.Dini yangu Mkristo.Situmii pombe wala sivuti sigara.Elimu yangu ni ya Chuo kikuu.Umri wangu ni Miaka 30.Pia nina mtoto mmoja.Sijawahi kuolewa.Makazi kwa sasa ni DSM. Mchumba ANAYETAFUTWA: Awe Mkristo,mwanaume...
  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake tumezidisha mechi za nje.

    hiyo hata mimi nilishashuhudia,ilikuwa noma bab kubwa!!!
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ushauri wa kisaikolojia unahitajika hapa haraka...msaada tafadhali wakuu!!

    msikilize Majanny,katoa point nzuri sana
  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watoto wa rafiki wa mke wangu ni wangu, nawahitaji

    mmmmh!kwa hiyo na mama yao atakuwa mkeo wa pili?Naamanisha uta mhalalisha?
  8. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania barafu wa moyo,ananiambia turudie kuwa marafiki

    pole sana kaka ndo ukubwa
  9. B

    JamiiForums Tanzania Wadau hebu saidieni hapa....

    A lawyer has a son.But the son's father is a security guard.Who is the Lawyer?
  10. B

    JamiiForums Tanzania Dating is an option

    very informative article!Keep the good work.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kwa wale mnaopenda 'Mambo ya Mombasa', tahadhari sana!

    duuuuuuuuuuuuuuu!
  12. B

    JamiiForums Tanzania laugh out loud loooooool

    mmmmh!
  13. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usiombe ukutane na Mwanamke wa UJIJI-Kigoma

    mmmmmh!kwa hiyo bado uko ujiji? Just curous!
  14. B

    JamiiForums Tanzania Tukio la kutisha limetokea Lamadi, aliyekufa aonekana akiwa hai...

    Khaaa jamani watanzania tunaoelekea sasa?Loh!
  15. B

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    Nimetumia hii dawa kwa kweli ni dawa.Mara ya kwanza nilitaka kutapika,lakini sikutapika.Nina wiki sasa na mabadiliko nayaona,nilikuwa na tatizo la fungus miguuni,naona sasa wanakauka.Asante sana mkuu
Back
Top Bottom