Supervisor
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 559
- 208
Habari wana Jf. Nimekuwa Kigoma sasa kwa muda wa takribani miaka 3. Kipindi nafika nikawa nasika story za wanawake wa Ujiji kuwa kama kijana unataka upotelee kwenye dimbwi na mahaba..basi nenda ujiji. Mwanzo nikachukulia poa tu, kadri muda ulivyokwenda nikaanza kupata shuhuda kwa vijana kuwa wale watu ni nomaaaa. Basi siku moja katika pitapita nikakutana nae bila kujua anatokea wapi kumbeee... alikuwa Ujiji moja. Sitaki kuingia kwa undani nini kilitokea lakn wale wadada ni nomaaa kwa hayo mambo wanajua vitu vingi mno... Nimekuwa nashuhudia wageni wengi wanaokuja wakinasa Ujiji ndo hawabanduki. Usimbe kukutana nao kama una mwezi wako... Utaharibu