laugh out loud loooooool

laugh out loud loooooool

Padri alihubiri akasema, Biblia inasema kuwa wasiotubu, wakiendelea kutenda dhambi watalia na kusaga meno siku ya hukumu. Kibogoyo 1 akacheka, akamnong'oneza mwenzake akasema,"Sisi tumebarikiwa kwa sababu hii adhabu ya kusaga meno kwetu haipo', Asante Yesu......."
 
Padri kamaliza ibada,akaita mmoja mmoja afanye maombi.akapanda mtoto mdogo akaanza
Maombi,"mungu wajaalie wasokua na mavazi kama ninaowaona katika simu ya baba wapate mavazi.na wajaalie nyumba wanaume wanaokuja kulala home wakati baba hayupo nao wajenge nyumba zao,na mjaalie kaka m1 anakuja kucheza mereka na dada afike final akacheze na john cena
 
Madenti 5 chuo kikuu kimoja hapa nchini walikuwa wanatakiwa wafanye mtihani siku inayofuata. Bahati mbaya wakanywa pombe mpaka mida mibaya na hivyo wasingeweza kufanya mtihani kesho yake. Wakatunga uongo wa kwenda kumdanganya mwalimu wa somo husika kwamba walikuwa kwenye harusi na wakati wanarudi gari yao ikapata pancha na wakavamiwa na vibaka na kuibiwa pamoja na kupigwa. Yule Lecture alikubali na akawapa siku tatu za kujiweka sawa na kujiandaa na special exam. Siku ya mtihani wa Special yule Lecture aliwapa mtihani na aliwasimamia mwenyewe.

Mwongozo wa mtihani ulikuwa kama ifuatavyo:
1. Mtihani huu ni kwa wanafunzi watano.
2. Majibu yao lazima yawe sawa na yakiwa tofauti wote wanapata ziro na wanafeli.
3. Mtihani huu una maswali matano na yote lazima yajibiwe.

Maswali ya mtihani yalikuwa hivi:
1. Harusi ilifanyika katika ukumbi gani?
2. Gari mliomtumia mpaka mkapata pancha inaitwaje?
3. Ajali imetokea eneo gani? 4.Nani alikuwa dereva?
5. Tairi ipi ilipata pancha,ya mbele au ya nyuma?

NAWATAKIA MTIHANI MWEMA!
 
Mshikaji baada ya kiu kumbana ikabidi agonge nyumba ya karibu kuomba maji akapewa maziwa,mshikaji akaomba tena akapewa tena maziwa,ikabidi aulize mbona mnagawa maziwa kwa wingi? Dogo akajibu maziwa yameingia panya hivyo kila mtu hayataki,Mshikaji akapigwa na butwaa glass ikamponyoka na kuvunjika, Dogo kuona vile akapiga kelele "Mama ile Glass ya bibi anayotemea mate ishavunjika" Mshikaji chini kazimia....
 
A Girl posts an advertisement in newspaper for her Life-partner.

"Need a person
can satisfy me on bed"
Girl: who are U?
Guy: I want to be ur husband.
Girl: U don't fit for that.
Guy: I don't have arms,
So i can't beat u.
I don't have legs,
so i can't leave u.
Girl: How can u satisfy me on bed ?

Guy:
How do u think i knocked the door..?
Hicho kifaa alichotumia kugongea hodi ni kiboko /saizi ya mchi wa kutwsngia kinu
 
Mpare bahili alinunua mbuzi. Akamwambia mpishi, 'nyama nuthu ipike pilau na nyngne itie kweny fridha, kichwa fanya thupu na miguu fanya mchudhi chuku chuku. Ngodhi uthitupe tutafanya mthwala, utumbo pika na ndidhi, mifupa tutawaudhia wenye mbwa. Mkia nitengenedhee uthinga wa kufukudhia indhi, kinyethi kihifadh kwa mbolea ya bustan,kwato ntapeleka kwa waganga,maini weka rothti Mpishi akamuuliza, 'hutaki na sauti ya mbuzi 2fanye ring tone kwenye cmu yako ?'
 
Hahahahahahaha
 
Mke kampa mumewe Radio aende Nayo chooni kwa kuwa Anakaa Chooni Mda Mref.
Aliporudi Mke Akauuliza
"Vp Ume Enjoy?"
Mume Akajibu.. ah! Wapumbavu hawa leo Wameniekea Wimbo wa Taifa,Nimekunya kwa kusimama!

Hahahahahaaaaaaaa
 
There are 3 rooms
1. Gold Coins
2. Currency Notes
3. Cotton Bags
If the 3 rooms catch FIRE, on which room will the ambulance pour water 1st?
Reply to me and I'll tell you what your IQ is!

Hiyo sio kazi ya ambulance! kazi yake ni kubeba wagonjwa na si kuzima moto
 
Mshikaji baada ya kiu kumbana ikabidi agonge nyumba ya karibu kuomba maji akapewa maziwa,mshikaji akaomba tena akapewa tena maziwa,ikabidi aulize mbona mnagawa maziwa kwa wingi? Dogo akajibu maziwa yameingia panya hivyo kila mtu hayataki,Mshikaji akapigwa na butwaa glass ikamponyoka na kuvunjika, Dogo kuona vile akapiga kelele "Mama ile Glass ya bibi anayotemea mate ishavunjika" Mshikaji chini kazimia....

good sana
 
Sharobaro alikuwa anatokea demu, akatoka naye dinner kwenye subway moja, akawa anasikia muziki mkubwa wenye beats za kutosha, ghafla akajisikia kupumua na ikawa noma kwake maana demu yuko mbele yake halafu watu nyomi.

Akaamua kupumua kwa kufuata beats za muziki ili isisikike. Ghafla akaona demu anaondoka kwa hasira halafu watu wote wanamtazama kwa mshangao.

Akagundua jambo,

''khaa!!! kumbe muziki unatoka kwenye head phone za ipod zangu bana''

nimecheka mpaka nikajishtukia lol
 
Back
Top Bottom