Recent content by babuwaloliondo

  1. babuwaloliondo

    JamiiForums Tanzania Neno la Leo: Hatutaki Mshindane Kufanya Ziara za Kushtukiza

    tetete, Mwanakijiji aingia jamiiforums kwa kustukiza, awashtukiza wasomaji wa jf kwa kubadika bandiko kali. Atoa tamko, watakao kiuka kukiona, and so... so......
  2. babuwaloliondo

    JamiiForums Tanzania Wycliffe Muga: Magufuli 'Reforms' Are Meaningless

    Kula 5, nashangaa huu ushabiki ambao umejengeka kama vile mwaka umeisha. JK ilikuwa hivi hivi, nakumbuka mpaka gado akachora kikaragosi ambacho waandishi walikuwa anamlamba JK viatu. Lakini yote ni historia tunajua nini kilitokea miaka 10 baadae. Tuache ushabiki tufikiri na tupate muda wa...
  3. babuwaloliondo

    JamiiForums Tanzania Kutoka Dodoma: Sherehe za Kilele cha mbio za Mwenge, Rais Kikwete ahutubia

    hivi kuna uhusiano wa mwenge na kuabudu sanamu?.
  4. babuwaloliondo

    JamiiForums Tanzania Lokassa ya Mbongo amtungia wimbo Jakaya Kiwete

    Lokassa ya mbongue
  5. babuwaloliondo

    JamiiForums Tanzania Jinamizi la Udini Tanzania: Utabiri wa Sheikh Suleiman Takadir

    Mzee Mohamed Saidi acha upotoshaji. Haya maandiko yako ni yaleyale ya malalamiko yale yale kwa nia ile ile ya kujenga chuki. Hujawahi kuja na hoja mbadala. Unakaa baada ya muda unarudi na maandiko yale yale. Nia hasa ni kuyazungumza kwa muda mrefu ili ionekane ni kweli. Hizi hoja zako...
  6. babuwaloliondo

    JamiiForums Tanzania Jinamizi la Udini Tanzania: Utabiri wa Sheikh Suleiman Takadir

    Tanzania hii, inamchango wa watu wengi katika kuleta uhuru. Wakati ule isingelikuwa rahisi kwa namna yoyote ile wazee wa mji fulani kuleta uhuru wa nchi hii peke yao. Maandiko mengi ya Mzee wetu M. Saidi nimeyasoma. Na hitimisho langu ni kuwa ukiayaangalia kwa jicho la kutokuelemea upande ni...
  7. babuwaloliondo

    JamiiForums Tanzania Jinamizi la Udini Tanzania: Utabiri wa Sheikh Suleiman Takadir

    Wewe mzee ni Mzee Chuki. Umepandikiza chuki kubwa na maandiko yako yaliyojaa ubaguzi na sasa imeanza kumea vijana wako wameanza kupora silaha kujiandaa kutimiza yale uliyoyapanda. Wewe ni mbaguzi kuliko hata PW Botha. Nchi hii ni yetu sote, tumeishi kwa upendo na kuvumiliana. Wote ni ndugu wa...
  8. babuwaloliondo

    JamiiForums Tanzania CRDB internet banking

    Utendaji na uwezo wa watanzania ni mdogo sana, chini ya kiwango cha kawaida cha binadamu aliyetaarabika. Pesa ni ya kwako, lakini wanavyokusumbua utadhani ni bure. Huku niliko, unafungua account ndani ya dk 20, unapata ATM card, internet card na internet card random generator. Ndani ya dk 20...
  9. babuwaloliondo

    JamiiForums Tanzania Huu Ndio Uzuri wa Kikwete!

    hahahaha, umenichekesha sana, ni sawa sawa na ile ya kinana kula mahindi ya kuchemsha na nape. Eti wanajenga chama, kumbe ni per diem tu
  10. babuwaloliondo

    JamiiForums Tanzania Huyu ndio Invisivible

    Nahisi atakuwa kama komba
  11. babuwaloliondo

    JamiiForums Tanzania Exclusive:Chaggas only

    natafuta mke mchaga wa kuoa
  12. babuwaloliondo

    JamiiForums Tanzania Exclusive:Chaggas only

    na ona kitu, Ng'ande, Mangararimo, umberere kimekosekana kitawa na mengineyo
  13. babuwaloliondo

    JamiiForums Tanzania Nasema tumechoka na mfumo DUME

    Kama kijembe fulani hivi
  14. babuwaloliondo

    JamiiForums Tanzania Muswada wa Mahakama ya Kadhi kutikisa Bunge

    Sijawahi kuona watu waajabu kama waafrika hasa watanzania. Ni watu wasiokuwa na uwezo wakujivunia kitu chao hata kimoja. Kutwa kuchwa kushabikia vya watu. Sijui kwanini hatujifunzi kwa mataifa ya mashariki ya mbali. Yaani hatuna hata recorded civilization, basi tukae tutengeneze ya kwetu. Kutwa...
  15. babuwaloliondo

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi kutoa zawadi ya milioni 20

    AAAAAAAAAAh Mrema sasa hivi kachoka hana hata hamu ya maisha, ukawa wanampelekesha puta tu
Back
Top Bottom