Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,355
- 2,739
Je ni kwa sababu ya kuwahamisha M23? au Jamaa kafurahi.
Last edited by a moderator:
Wanachi wa tz twendeni nyuma ya Kikwete, Mwanza ,Dodoma twende nyuma ya Kikwete
Je ni kwa sababu ya kuwahamisha M23? au Jamaa kafurahi.
Kumbe umeusikiliza aiseee......wengine bundle zimegoma ila nimecheka sana
Ni kibao kitamu ila sifa kwa CHADEMA manake hawa ndio mashujaa wa kikweliiii. CDM Hoyeeee!!!
Eti alianza Nyerere akafuata Mkapa. Mzee Mwinyi kasahauliwa.
Ila baadae wakamtaja mbeleni.