CRDB internet banking

CRDB internet banking

...hukuwauliza notification utapata baada ya muda gani...? labda it takes a few weeks to be connected...
 
Mi nilifanya kama ulivofanya wewe leo mwaka wa nne sijapata notification hadi nishakata tamaaa. Endelea kusubiri
 
Daah kaka hao crdb sasa mi mwenyewe nawashangaa kadi yangu ilikwisha muda wa matumizi, na wameniapatia mpyatoka tarehe 5/02/2015 lkn kila nikiingia ATM inanikatalia kuchukua hela, nikwapigia kwa namba hii 0755197700 wakanijibu kuwa haijawa activated nisubili masaa 24, siku ya jumamosi nikawapigia wakanambia niende tawi lolote lililokaribu, nikaenda mlimani city, nikasaidiwa na bint mmoja kwa uzuri kabisa na akawapigia simu tawi la vijana, wakamwambia wanaiactiave itakuwa tayari muda si mrefu, leo ni siku ya nne bado, jamani kama mmetuchoka wateja mtuambie, na tunaomba mjali muda wetu pia.
 
Wapigie moja kwa moja simu
+255 22 213 4498
Hiyo ni crdb Ibank. Wanasaidia ukiongea nao moja kwa moja kuliko kupitia Huduma kwa wateja
 
Nchi za dunia ya tatu bana!

Yaani huduma rahisi kama online banking lakini kuipata kwake ni shida kweli kweli.

Wengine tuna miaka miwili sasa bado tikisubiri tokea tutume maombi (kwanza kutuma tu maombi kwenyewe ni kichekesho).

Oh well.....ndo dunia ya tatu hiyo.
 
yaani ni hovyo kabisa braza
 
Jamani kwa mwenye uelewa please anisaidie, nimefungua akaunti crdb lengo kubwa nilikua nahitaji nipate visa card itakayoniwezesha kufanya malipo mbali mbali online, sasa wakati nafungua akaunti nikawaomba na huduma ya internet banking wakaniambia nitatumiwa confirmation text, pia nikajaza fomu nikaambiwa wataninotify, lakini naona wiki inaenda kukatika hamna kitu, je inachukua muda gani kupata iyo text kwa anaejua tafadhali anitoe wasi wasi manake nina shida ya haraka kweli na internet banking.

Inawezekana kabisa imeshakuwa activated tayari. I had the same problem nilipokwenda kuwauliza kwenye tawi waliwasiliana na makao makuu wakawaeleza mbona ni siku nyingi imekuwa actvated? Inaelekea tatizo ni kutoa notification sio kufanya kilichoombwa. What you can do ni kufanya online purchase uangalie jibu utakalopata kama transaction imefanyika au la na kama sababu ni kushindwa kulipa. Try this kuna watu nao walisubiri notification hawakupata na badala ya kuuliza walianza kulipia online na malipo yakakubali.
 
Mbona mm hiyo huduma aikuchukua hata siku mbili...labda kutakuwa na tatizo la kiufundi...ila jaribu kuwasumbua kwa kwenda direct kwenye branch au kupiga simu wakupe details za kueleweka...
 
Jamani kwa mwenye uelewa please anisaidie, nimefungua akaunti crdb lengo kubwa nilikua nahitaji nipate visa card itakayoniwezesha kufanya malipo mbali mbali online, sasa wakati nafungua akaunti nikawaomba na huduma ya internet banking wakaniambia nitatumiwa confirmation text, pia nikajaza fomu nikaambiwa wataninotify, lakini naona wiki inaenda kukatika hamna kitu, je inachukua muda gani kupata iyo text kwa anaejua tafadhali anitoe wasi wasi manake nina shida ya haraka kweli na internet banking.

sababu hutaki kusumbua mwili wako kwa kwenda kuwauliza ofisini kwao ungeutafuta kwenye Google
 
Nchi za dunia ya tatu bana!

Yaani huduma rahisi kama online banking lakini kuipata kwake ni shida kweli kweli.

Wengine tuna miaka miwili sasa bado tikisubiri tokea tutume maombi (kwanza kutuma tu maombi kwenyewe ni kichekesho).

Oh well.....ndo dunia ya tatu hiyo.

Utendaji na uwezo wa watanzania ni mdogo sana, chini ya kiwango cha kawaida cha binadamu aliyetaarabika. Pesa ni ya kwako, lakini wanavyokusumbua utadhani ni bure. Huku niliko, unafungua account ndani ya dk 20, unapata ATM card, internet card na internet card random generator. Ndani ya dk 20 tu, lakini nyumbani ni vichekesho. Kila kitu ni chini ya kiwango. Everything is substandard. Yaani nikiwa nyumbani huwa nabaki kushangaa maana hata ukihoji unapata majibu chini ya kiwango na litania ya visingizio
 
Tanzania ni shida sana. Kitu chako lakini kinakusumbua
 
Tafadhali nisaidie Routing Number ya Boa Bank, Bank Of Africa Tanzania, kwani nahitaji kuverify account yangu PayPal
 
Jamani kwa mwenye uelewa please anisaidie, nimefungua akaunti crdb lengo kubwa nilikua nahitaji nipate visa card itakayoniwezesha kufanya malipo mbali mbali online, sasa wakati nafungua akaunti nikawaomba na huduma ya internet banking wakaniambia nitatumiwa confirmation text, pia nikajaza fomu nikaambiwa wataninotify, lakini naona wiki inaenda kukatika hamna kitu, je inachukua muda gani kupata iyo text kwa anaejua tafadhali anitoe wasi wasi manake nina shida ya haraka kweli na internet banking.

Confirmation msg huwa haipiti kutwa bila kupata msg yake, kama unaweza rud tena uliza kama unaweza jaza form tena maana nahisi uenda hata ww ulikosea namba yako then ukawa unawalaumu wao
 
Niliacha Kutumia Huduma Zao..hawajui dhamani ya mteja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom