Recent content by Babu wa Kambo

  1. Babu wa Kambo

    Series (Special thread)

    Namemaliza kuingalia Season 1 ya Jack Ryan Namtafuta kwa hamu aliyesema ni mbaya nimpe vibao vyake
  2. Babu wa Kambo

    Kutekwa kwa Mo: IGP Sirro aonya wanaopingana na maelezo aliyoyatoa juu ya ulipofikia uchunguzi

    Na. Tundu Lissu IGP SIRRO USITISHE WAKOSOAJI, SAFISHA JESHI LA POLISI Nimesikiliza kauli ya Inspekta Jenerali wa Polisi Simon Sirro kuhusu kupatikana kwa Mo Dewji. IGP Sirro amesema, pamoja na mengi mengine, kwamba wanaotafuta uadui na Jeshi la Polisi wasije wakalaumu litakapowatokea la...
  3. Babu wa Kambo

    Nimekoma kushika simu ya mke wangu

    Matatizo mengine mnajitakia tu. Ya nini kushika simu ya mwingine wakati na wewe una yako?? Mie sifanyagi ujinga huo
  4. Babu wa Kambo

    Ndoa yangu ipo ICU !dah

    Hapo ndugu chukua maamuzi magumu. Pengine kuna makubwa zaidi yatakutokea ukiendelea kumng'ang'ania. Kisicho riziki hakiliki. Utaokota na matatizo ambayo hukuwa kuyafikiria bure
  5. Babu wa Kambo

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Mi mgeni kabisa jukwaa hili, vipi hakuna series nyingine nzuri inayo-trend mwaka huu Maana nimefuatilia uzi asilimia kubwa stori ni Mr. Sunshine tu. Wafuatiliaji wazuri wa Korean drama mtujuze na zingine basi.
  6. Babu wa Kambo

    Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu leo atafanyiwa upasuaji mwingine katika mguu wake wa kulia

    UJUMBE WA LISSU Habari za leo popote mlipo wapendwa wangu. Napenda kuwajulisha kwamba, leo tarehe 11 Aprili 2018, ninaingia kwenye operesheni nyingine tena. Kama nilivyowataarifu siku za nyuma, mguu wa kulia bado una shida kutokana na risasi nyingi nilizopigwa na ‘watu wasiojulikana'...
  7. Babu wa Kambo

    Nimepata dhamana na kutoka mahabusu Magereza Butimba-Mwanza

    Kwa uandishi tu naona zimenyooka sasa
  8. Babu wa Kambo

    Simu ya Huawei Y 530, inanigomea kuwaka

    Huawei ni janga, mimi lilinyamaza hadi leo. Pamoja na utundu wangu wa simu nilichemka nikalitupilia mbali
  9. Babu wa Kambo

    Mtoto wa marehemu Chacha Wangwe, Bob Wangwe ahukumiwa kifungo cha mwaka 1 na nusu jela au faini Milioni 5

    Mahakama ya Kisutu imemuhukumu Bob Chacha Wangwe kulipa faini ya Tsh Mil 5 au kwenda jela mwaka mmoja na nusu Kosa ni kuchapisha taarifa ya uongo kwenye mtandao wa Facebook kinyume na kifungu namba 16 cha Sheria ya Makosa ya Mtandao ya 2015.
  10. Babu wa Kambo

    Hatimaye jana uso kwa uso huyu Kicheche na cha moto kakipata

    Yaani unaweka na chombezo ya kikurya kabisa kwny kuua kakicheche tu?!![emoji87] [emoji87]
  11. Babu wa Kambo

    Baada ya zama za kubebwa na Yamoto Band kupita, Enock Bella atoa wimbo mbaya kupitiliza

    Mtoa mada naona umetumwa tu Pambana na hali yako, acha kusafiria nyota za wenzio
Back
Top Bottom