Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,381
- 18,164
- Thread starter
- #41
Njoo nikupe yangu. Mim ninazo tatu. Moja ndio inaznguatangu juzi batani ya kupandishia sauti imetumbukia ndani. nikiwasha inaniambia No command, nmehangaika weeh kuiflash wapi ,nmerudi kwa fundi kapandisha hio keyboard imejiflash yenyewe nmeanza upya ,Haijazingua mpaka sasa ila najihesabia sina simu