Recent content by Babu Kivu

  1. B

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wasomi wa Jiografia na Fizikia wenye akili zao, kama ulienda shule kukariri pita mbali

    vipi nzi aliekaa juu ya bawa la hiyohiyo ndege. akitaka kuruka kutoka bawa moja kwenda lingine?.. mruko wa kuikatiza ndege inayosafiri uelekeo tofauti na nzi. au nzi huyo huyo akiwa hukohuko nje ya ndege akiamua kuruka uelekeo huohuo wa ndege kitambo cha mita moja kufikia anapotaka...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wasomi wa Jiografia na Fizikia wenye akili zao, kama ulienda shule kukariri pita mbali

    vipi nzi aliekaa juu ya bawa la hiyohiyo ndege. akitaka kuruka kutoka bawa moja kwenda lingine?.. mruko wa kuikatiza ndege inayosafiri uelekeo tofauti na nzi. au nzi huyo huyo akiwa hukohuko nje ya ndege akiamua kuruka uelekeo huohuo wa ndege kitambo cha mita moja kufikia anapotaka...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kumbe kuna salamu maalumu ukikutana na mtu usiku mzito? Usiku wa leo mbio ndiyo zimeniokoa

    Sahihi. Wakati wa usiku unapokaribia kupishana na mtu ambaye bado hujaweza kumtambua. Unatakiwa kutoa salamu hiyo "Usiku?" hii maana yake ni "Shari?" Kama ni amani imetawala unatakiwa kumjibu "Mchana" Kama ni shari imetawala unatakiwa kumjibu "Usiku"
  4. B

    JamiiForums Tanzania Dogo katolewa chumba cha mtihani na Mkuu wa Shule

    Unapompeleka mtoto bwenini. Usimamizi wa kuhakikisha anahudhuria vipindi vya masomo darasani ni mzazi au mkuu wa shule?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini hizi ndege hupita juu sana na kutoa moshi mwingi?

    Siyo Moshi. Siyo Roketi. Huo ni msuguano wa ndege na hewa ya huko ambako ni mbali sana. Hali ya hewa ya huko ni tofauti na huku chini zinakopita hizi ndege zingine ambako Oxygen ipo nyingi huku
  6. B

    JamiiForums Tanzania Tunachimba Visima na kufanya underground water survey kwa ghalama nafuu

    Survey. Zaidi ya kuonyesha Water Table ilipo. Je ina uwezo wa kuonyesha Salinity ya Maji?.. Ili mteja asipate hasara ya kuchimba na kupata maji yasiyofaa. Samahani kama kuna atakua ashauliza hili na kujibiwa.Sijapitia comments zote
  7. B

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi Baba T wa East Africa Radio

    nimemuona juzi mitaa ya Posta
  8. B

    JamiiForums Tanzania Natabiri jaribio lolote la kubadilisha Katiba na ukomo wa Rais litaibua mazito

    Hili la 'kuongeza muda' si tuhuma mpya toka Upinzani kwenda kwa Raisi wa JMT. Hata Jakaya alishazushiwagwa. Saa hii yuko Msoga. Naungana na Msimamo wa Kiranga.
  9. B

    JamiiForums Tanzania TCL android smart TV inch 32 kwa laki 3 na 70 tu (370,000)

    dukani?
  10. B

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam kuelekea mchezo wa Simba na Plateu United

    Mohammed Hussein Kwakua ana kadi ya njano si vema akacheza hii mechi.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Wajerumani Walificha Mali Nyingi Kwenye Ardhi ya Tanzania

    Nawaona nawaona wazee wa kubatua..
  12. B

    JamiiForums Tanzania The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    ukipata jibu,,uni tag
  13. B

    JamiiForums Tanzania Giuliani kaitolea mfano Tanzania kwamba, waangalizi huwa hawatolewi nje ya vyumba vya kuhesabia kura

    Angalau mzungu kasema. Tutaamini sasa kwamba Wasimamizi hawakutolewa ndani. Kwa maana walishuhudia upigaji,uhesabuji na ubandikaji matokeo. Sasa ni jukumu la wanaopinga matokeo kutuletea Data zao za kituo hadi kituo ili tufahamu tofauti iliyokuwepo ili tuwaulize wasimamizi kama wanayatambua au...
  14. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi ni haki kweli kwa akina Robert Amsterdam kuingilia uchaguzi mkuu wa nchi yetu? Je, tunaweza kuwashitaki kwenye mahakama za kimataifa?

    safari hii mkisema mmeibiwa kura. mje na data za wapi zimeibiwa ngapi na muweke ushahidi wa viambatanishi vilivyosainiwa na mawakala wenu.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wanatamani wawe raia wa nchi zinazopambana na Corona kwa dhati ili kuwa na uhakika wa kuishi

    Kosa la Raisi ni lipi? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom