Recent content by babu chodo

  1. B

    JamiiForums Tanzania Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2017/18

    Naomba kuuliza mwanangu amemaliza form six st marys mazinde pcb na amepata div one ya point 5 atapewa mkopo kweli? Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
  2. B

    JamiiForums Tanzania Rais wangu Magufuli, uko kwa ajili ya masikini wapi?

    Nadhani ishu ya madawati si kipaombele sana walimu,vitabu kwanza.umri hausubiri
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mba kichwani (Dandruff): Fahamu Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

    Dawa ya mba tafuta shampoo auntdanruf zinasaidia sana
  4. B

    JamiiForums Tanzania Sasa masomo ya sayansi lazima sekondari, utaratibu wa kuchagua masomo kidato cha tatu haupo tena

    Kwani nchi inaongozwa na wanasayansi tu?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Usiombe uende hospitali ukafanyiwa kipimo hiki cha OGD

    Wala hicho hakiumi,colon scople ndio kiboko yake inauma balaa
  6. B

    JamiiForums Tanzania Karibu tushauriane juu ya nini cha kufanya na matokeo yako ya kidato cha 6

    Mwanangu amemaliza form six amepata G/Studies F,History D, Geograph 'S', na English 'S'. Aende chuo gani?
  7. B

    JamiiForums Tanzania Sitokuja tena kutoa sadaka kanisani

    Wewe unatolea mazabahu si unampa mchungaji akinunulia magari ni shauri yake
  8. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta vits

    Nakiasi cha milioni tano natafuta vits no d
  9. B

    JamiiForums Tanzania Profesa Lipumba aomba kutengua kujiuzulu kwake Uenyekiti CUF

    Anaanza maigizo,sidhani kama lipumba anamvuto tena
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mafundi na wataalamu wa ujenzi nipe mawazo

    Naomba mnijuze kujenga chumba kimoja na choo ina gharam kiasi gani?
  11. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume punguzeni kututesa, tunaumia jamani

    Wanaume wengi wako hivyo akishapata anaona wewe si kifano chake.usiuzunike sana mungu atakufuta machozi
  12. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I am sorry mabinti wa kichagga

    Wataolewa na wachaga wenzao.we kaoe kabila yako
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mchina mpelekeni Kilakala muone kwanini tunataka ada elekezi na Prof. amekaa kimya!

    Tanzania inasikitisha sana tofauti na kenya.hata wale watoto wa waliofaulu vizuri wanashindwa kuwapa zawadi.kuwaita studio ukiwa unaangalia channel za kenya siku matokeo yametoka chanel zote habari ndo hiyo inaonyesha jinsi wako makini na elimu
  14. B

    JamiiForums Tanzania Diamond: Hata kama mtoto si wangu niacheni

    Huyu sepeta hajitambui anacha kitafuta shuhuli ya kumletea kipato nikumkashifu zari.na wewezari usijibishane na mtu aliyekwama na wala usijifananishe nae hafanani nawewe hata robo
  15. B

    JamiiForums Tanzania Saed Kubenea: Sijagombea PAC, sijagushi jina wala Zitto hajui MwanaHalisi ilivyoanza

    Zitto na lipumba hawana lolote lakusifiwa wasaliti wakubwa.mwacheni kubenea acha aseme ukweli
Back
Top Bottom