Unaleta theory kwenye maisha ya kitaa, walahi utaokota makopo. Wee ng'ang'ana na hiyo sample size yako sijui takwimu n.kKwa mtu yeyote ambaye ambaye ana ABC ya takwimu (statistics) hawezi kufikia uamuzi wa kusema hiki kitu kiko hivi mpaka SAMPLE SIZE yake angalau iwe ni thelathini. Kwa maelezo hayo watu wawili hawawezi kwa namna yeyote kuwakilisha kabila zima. Plz elewa tu kuwa mabinti wetu wa KIBONGO FLEVA wote hawawezi kula ugali au chakula kigumu; wao hula chips mayai/kuku kwa soda. Don't expect any good from ladies of that kind.
Mrombo na mmachame!!!!!Vipi kuhusu Baba yako nae ni mchaga? coz ninavyojua mimi ni kuwa wachaga wanawezana wao kwa wao.
Mjaribu kuoa kwetu Ethiopia na kwa wajomba zangu RwandaKuna watu huwa wanasema ndoa za kizungu ni ngumu sana,wanawezana wao kwa wao...sijui hii inaendana vipi na wachagga.Ngoja niwaze kidogo zaidi au mnaweza kutoa msaada
Mnazngua sometimes mnabaguana nyinyi kwa nyinyi spirit ya ubaguz is wthn u, nlikua na rafk angu alikua anamdate mkaka mrombo yule kaka alikataa kumuoa rafk angu ksa mchaga wa marangu akasema wew utanipasua kwanza mna dharau nyie wamarangu, and bla bla kbao.Funga bakuli lako zumbukuku wewe tafuta kabila lako tangu lini kunguru akaruka na njiwa pamoja hawafanani. Tafuta kabila lako wachaga tunaona wenyewe kwa wenyewe
samahani mkulu eti .. we ni wa huko pia auu....🙄Huo utafiti wako umeufanya kwa muda gani, mpaka umeyaona yote hayo?
Kwa Wanyarwanda nasikia wanataka soft soft,life la kuumiza kichwa nasikia hawataki.Waethiopia sijui ABC zao zikoje.Mjaribu kuoa kwetu Ethiopia na kwa wajomba zangu Rwanda
aise!! chall angu umenkumbusha dem wangu wa marangu ni nomma acha kabisa... kuna siku nilimfumania airport yuko na KISHUMUNDU ake aisee!! eti akajifanya hajaniona nikamtokea live nikamchana live mbele ya kishumundu wake...Wanawake wa kichaga kweli wanapenda kutumia waume zao, haswa wale wamachame na wamarangu wale bana mwanaume awe na pesa.
Daah jitahidi upate sifa zao Mimi siwezi sema weakness za Dada zangu bhana, labda kwa Rwanda muulize Dada RubiKwa Wanyarwanda nasikia wanataka soft soft,life la kuumiza kichwa nasikia hawataki.Waethiopia sijui ABC zao zikoje.
Somehow uko sahihiKabila nalolipenda TZ n wasukuma too bad msukuma m1 tu amewah kunifata na bahat mby nlikua kwa mahusiano na mmarangu m1 ila kiukweli wachaga waoane wao kwa wao unless utalia...tena ukitaka upasuke oa frm marangu uhalisia n watu wanaongoza kwa kuolewa mjn hapa lakn thy have matatzo sn, bnafs nmekua na marafk wachaga also dates zng zote n wachaga but nmejitamkia sitak kuolewa na ilo kabla kbsa kwanza wabaguz ukitaka ujue wabaguz hata wao kwa wao wanabaguana mara mchaga wa marangu anajiona yuko juu anamdharau wa kibosho mara mchaga wa uru anaonekana hamna ktu mara rombo cjui n nn...km tu haitosh unakuta mchaga wa marangu wanabaguana kwa ukoo mara kna temu wanawadharau kina mbando yan n shigdiiii wachaga i salute u thou.
KWA KWELI WADADA WA KICHAGA NI NOMA..KWANZA NI WAJASIRIAMALI WA MAHUSIANO..Hasa akishaona una Mwelekeo mzuri wa Kimaisha hasa kama unakaribia kuhitimu Chuo Kikuu ANAKUBANA KWELI KWELI Hata Tigo yuko Radhi Kutoa...Atakuganda na kukutegeshea umjaze Mimba na Kwa sisi wa Bara tunavyovutiwa na RANGI NYEUPE NA UZURI basi hatuchelewi kutangaza ndoa...my Wife ni Mchaga but Kuna wakati natamani apate Ajali afe niwe huru...its a TOTAL KERO...A Total Stress
Kwa sasa nimeam ua kufanya kazi mbali na kwangu ili angalau nipate Peace of mind ili niwe napeleka Matumizi tu
Basi kama wewe si Mchaga DON'T Think of Marrying a CHAGA Girl....Acha Waoane Wenyewe
Kiss flan uko sahihi wachaga wanashindia sana hasa kimahusiano, lakini mtu kama mm utaniambia kabila gani zuri?Kabila nalolipenda TZ n wasukuma too bad msukuma m1 tu amewah kunifata na bahat mby nlikua kwa mahusiano na mmarangu m1 ila kiukweli wachaga waoane wao kwa wao unless utalia...tena ukitaka upasuke oa frm marangu uhalisia n watu wanaongoza kwa kuolewa mjn hapa lakn thy have matatzo sn, bnafs nmekua na marafk wachaga also dates zng zote n wachaga but nmejitamkia sitak kuolewa na ilo kabla kbsa kwanza wabaguz ukitaka ujue wabaguz hata wao kwa wao wanabaguana mara mchaga wa marangu anajiona yuko juu anamdharau wa kibosho mara mchaga wa uru anaonekana hamna ktu mara rombo cjui n nn...km tu haitosh unakuta mchaga wa marangu wanabaguana kwa ukoo mara kna temu wanawadharau kina mbando yan n shigdiiii wachaga i salute u thou.