Recent content by babagodi

  1. babagodi

    JamiiForums Tanzania Fahamu jumla ya hifadhi (National Park ) zetu nchini

    SAfi sana
  2. babagodi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Weekend Story! The Workaholics Silence

    Afadhali na wewe umesema
  3. babagodi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Weekend Story! The Workaholics Silence

    Aiseeeee
  4. babagodi

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kusisimua

    Wewe si uliringa na ukajiona umetuweza?
  5. babagodi

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kusisimua

    Safi sana mkuu
  6. babagodi

    JamiiForums Tanzania 'Ujinga' wa Ikulu unarudi kwa kasi

    Mkuu siyo hedimasta ni meneja huyo!
  7. babagodi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Mfanyakazi mwenzangu anataka tuchepuke ofisini

    Hahahahahahahahahahah
  8. babagodi

    JamiiForums Tanzania Nyuma ya mdada apa foleni ya BVR tatizo inaenda fasta sana..

    Foleni ya bvr
  9. babagodi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimechuma mali na mme wangu, lakini sasa anachepuka hakumbuki hata familia yake

    Mchawi huyo miss chaga! Atakupata shauri yako
  10. babagodi

    JamiiForums Tanzania Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

    Pengo kafanyaje mkuu?. Nijuze nami kidogo tafadhali
  11. babagodi

    JamiiForums Tanzania Gharama mpya za visimbuzi/ving'amuzi na vifurushi Azam pay TV

    Ipo hata moja inayoonesha EPL?
  12. babagodi

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kununua Suzuki Carry, Nipeni mwongozo

    Aisifuye mvua imemnyea! Kila mtu atasifu kampuni kulingana na jinsi ilivyomtendea.Mimi kwa upande wangu trade carview ni wazuri sana.na gari zao ni nzuri kama utapata muuzaji Wa kijapani mwenyewe na siyo wale walanguzi kutoka Zambia na nigeria
  13. babagodi

    JamiiForums Tanzania Kilele cha Kejeli: Kikwete Umenikwaza... "Barua ya Mkosaji"

    Hahahahaha! Itakuwa ulisoma PCB Mkuu
  14. babagodi

    JamiiForums Tanzania Taratibu za kufuata ili kuhamisha mwanafunzi shule

    Katika shule anayosoma utajaziwa fomu za uhamisho m/mkuu na mwalimu darasa watazisaini kisha unazipeleka kusainiwa kwa afisa elimu wilaya halafu unazipekeka mkoani(iringa).baada ya kusainiwa utazipeleka kule anakohamia kwa utaratibu uleule wa kule ulikoanzia
  15. babagodi

    JamiiForums Tanzania Tanzania Commercial Banks Salary Scale

    Sasa sema mfano wewe mshahara unapata ngapi?.suala lililoko mezani ni viwango vya mishahara katika kada mbalimbali katika benki zetu.hatuzunguzii kukua na benki au menejimenti ya benki ina rika lipi la watu.watu mlio benki mngesaidia zaidi huu mjadala.mfano " Mimi ni teller niko nmb basic salary...
Back
Top Bottom