Taratibu za kufuata ili kuhamisha mwanafunzi shule

Joined
Dec 6, 2014
Posts
47
Reaction score
13
Za siku wadau wa JF,

Nina mtoto anayesoma shule ya msingi mkoa wa Iringa ambaye nataka nimuhamishie shule nyingine Songea. Shida yangu naulizia ni utaratibu gani nifuate ili niweze kufanikisha uhamisho.

Asanteni sana.
 
Naona mods wameamua ku edit ulichoandika ....

anasoma Iringa shule gani...pia Iringa ni kubwa
 
Za siku wadau wa JF,

Nina mtoto anayesoma shule ya msingi mkoa wa Iringa ambaye nataka nimuhamishie shule nyingine Songea. Shida yangu naulizia ni utaratibu gani nifuate ili niweze kufanikisha uhamisho.

Asanteni sana.

Katika shule anayosoma utajaziwa fomu za uhamisho m/mkuu na mwalimu darasa watazisaini kisha unazipeleka kusainiwa kwa afisa elimu wilaya halafu unazipekeka mkoani(iringa).baada ya kusainiwa utazipeleka kule anakohamia kwa utaratibu uleule wa kule ulikoanzia
 
Back
Top Bottom