Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 27,230
- 39,639
Bahati yako umekutana na anayekuambia ukweli, waliodanganyika hubaki kujutia kazi walizoziacha Tanzania na kuishi kwa kubangaiza nchi za Magharibi. Kama una kazi yake bora endelea maana Tanzania kuna fulsa nyingi zaidi ya ajira kuliko ughaibuni ni kutegemea ajira tu huwezi hata kuweka tenga la viazi upenoni au kuuza vocha za simu wala kuuza mahindi ya kuchoma mtaani. Ukikosa mahesabu ya mshahara hakuna pa kudoea.
Mkuu unanikumbusha dada flani jina kapuni aliachaga kazi BOT akazamiaga USA sijui tangu miaka ile hadi Leo angekua na cheo gani pale BOT aisee....
Ahsante mkuu kusema ukweli....