Kama upo chini ya miaka 45 na unafanyiwa hayo, acha ufanyiwe tu hakuna namna. Hivi unashindwa kumleta jamaa kwako yeye na Mke wako ukawapa kichapo wakatajana??, mi niliwahi kufanya hivo mwaka juzi, Mke Wangu na jamaa walikuwa wanafanya kazi ofisi moja. Nilitumia mbinu za kumleta jamaa nyumbani...
Kiama kipo soma maandiko matakatifu. Pia uwe na uhakika kuwa MUNGU yupo kwa kuangalia maajabu yake, YEYE hulitoa jua mashariki na kulipeleka magharibi, pia humuumba mwanadamu kutokana na Maji DHALILI sana (manii/sparms). Huyo ndo MUNGU
Tunashughulishwa na ya wenzetu yakwetu yanatupita. Tuwe marafiki Wa nyoyo zetu kwanza, kila binadam amezaliwa kwa muda wake, na kufa hivo hivo, kwanini tushabikie ya wenzetu tena maovu??. (Uzinifu?). Tuwaombee tu wamjue. MUNGU
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.