Mpumbavu mwngne n uyu apa!! Et wap ilipoandikwa ukristo n dini!!Mkuu mbn jazba badala ya kuibua au kujibu hoja!
Habr ya ukristo c dini inakujaje hapa, lkn we unaonaje!? Ukristo Ina maana mpk Leo we hujui km no jina LA MTU na siyo dini! Nioneshe wapi kwenye biblia ukristo umeelezwa kama dini!?
Uislamu ni Dini sababu imeelezwa kwenye Qur an 3:19.
Argue don't shout!
Haifai kwa Muislam inafaa kwa nani?Sure,hata mimi kupitia mitandao mbalimbali nilijaribu kulifuatilia swala hili kwa mtazamo wa kidini ya kiislam nikaja kugundua kuwa haifai kwa muislam......ni kweli mtoa mada kwamba hii issue ni haram muislam kuifanya.swadakta mkuu.
We kweli nkobe maeendeleo unayesema yepi ulikwisha fika uarabuni? au ndiowalewale wakutungiwa nyimboNdio maana Waarabu wameachwa weupe wenzao kimaendeleo kwa sababu ya kukabithi akili zao kwenye dini
Mpumbavu mwngne n uyu apa!! Et wap ilipoandikwa ukristo n dini!!
Wapi wameandika FOREX NI HARAM.
maana il maisha yaenda lazma ziandikwe katka vitabu vitakatfu sio??
Unajua ata kesho ukiwaulza wazungu moja katka ya mafanikio makubwa walio yapata atakuambia n kuwatawala waafrika kwa mfumo wa dini
Baada ya resistance kuwa kuwa plan B ilikua dini, na hawakutemea kama itakua itawafanya wajnga kias hik,
Waislam wanasafar ndefu sana, wana falsafa za ajabu sana. Wanakuambia riba n haram Aya hyo mikopo wanaomba wakristo peke yako???
Sku waislam mtakapo jielewe hakika ntafanya vng vya maana.
Wacha kudanganya umma hapa. Uislam unasema ukikopa leo elfu 3 ukinilipa mwakani unilipe elfu 5? Hiyo ni nini kama sio riba? Eti thamani ye pesa ya zamani na sasa....mimi nimesoma hizo time value of money....hii ipo katika investment. Kwa hiyo wao wakinipa hela leo ina maana wameinvest kwangu ntawalipa nikimaliza chuo niwalipe na cha juu ina maana hiyo ni riba tu. Ukibadilisha jina unadhani ndio haiitwi riba?Hukusoma Terms and Conditions wakati unasaini mikataba?? mikataba imefafanua kila kitu, ni ajabu hujui kwamba hakuna riba. Au ulisaini bila kusoma? Ukaja kuulizia baadae.
Mbona unaelekeza kwenye kideo?. Sisi ni waswahili tena watanganyika, wew hicho kideo kifafanue tukielewe wote kama umedhamilia kuelimishaUelewa wako mdogo.. soma mada vizuri ili upate kuelewa sawa sawa. Kwa kukusaidia soma section "Muhimu" kwenye uzi. Na ukitaka kuelewa zaidi angalia hiyo video maana ni wazi kabisa hata hujui ninachokiongelea.
teh teh teh..Aisee 😀... Unanipa lecture ya forex wakati nimekwambia nimetrade forex tokea 2010/2011.., kipindi hicho napiga "pips" nina uhakika hata neno forex ulikuwa hujui nini maana yake.
ANGALIZO
Watu tusipende kujifanya tunajua vitu tusivyojua, ni bora kukaa kimya kuliko kuongea vitu tusivyovielewa vizuri.. tunajidhalilisha bure na kuonekana mbumbumbu mbele za wanaojua, tusiComment ili mradi tuonekane tumeComment.
We Pablo unamuambia nani hayo?ingependeza ungemtaja au ungemquoteHata shule yako ya elimu dunia inaonekana bdo mdogo,mtiririko wa maandish yako unaonyesha uwezo wa darasa la saba au form two failure miaka hiyo,,hata ukiwekewa hiyo aya cdhan km utaamin,rudi shule kwanza utaelewa mtiririko wa mawazo ya mtoa mada