Dodoma: Mbunge wa CCM, Deo Sanga ataka Dkt. John Magufuli awe Rais wa maisha

Hawa ndio wabunge wa chama pendwa, mbunge darasa la saba, huyu ndio alikata viuno bungeni baada ya kupindua ila katiba ya Warioba.

Wabunge wa aina hii hawana mchango wowote bungeni na akiinuka kuchangia lazima achangie pumba kama hivi.
 
Huyu ktk jimbo lake hakuna matatizo km maji, hospitalini madawa, shule, yy ameona cha msingi aombe hilo, ama kweli ukistaajabu ya musa utayaona ya filauni. Pongezi mbunge wa makambako
 
Ana fikiria kila bunge jipya watapata mgao wa millioni 10.
Hiyo familia ni wanafiki sana! Huyo ana ndugu yake anafanya kazi katika moja ya taasisi ya umma Arusha ni mnafiki kwa kiwango cha shetani. Usiamini mkinga yeyote anayeitwa Sanga.....utapotea!
 
pacemaker expired linaogopa kwenda Germany kuchange..na kweli ukienda mtanzania anakaa kwenye kiti
 
Elimu aliyonayo ndugu Deo Sanga inamfanya afikiri hivyo na wala tusimlaumu wala kumshangaa. Kumbukeni mtoto wa la tatu akiambiwa mama kanunua mtoto huamini kwa 100% kwasababu tu uwezo wake wa kufikiri umeishia hapo.
 
Hata mimi nataka magufuli awe rais wa maisha had pale watanzania watakapoamka miili na akili zao.

Mambo mengi yanayotokea ya ovyo ovyo chanzo kikuu ni ukondoo wa watanzania.
 
Kuna haja ya kupitia sifa za kugombea ubunge, tuna vilaza wengi kweli, wabunge wa namna hii ndiyo wanaorudisha maendeleo nyuma
 
Deo naona sasa umeamua kutuaibisha Watu wa Makete. Ebu endelea kutafuta fedha achana na mawazo ya kijinga hayo. Yanakushushia heshima yako mbele ya jamii.
 
Deo Sanga aka 'ja people'hajui kusoma wala kuandika. Kweli tunayo safari ndefu
 
Huyu mbunge ni darasa la NNE kwa mawazo yake yupo sahihi ndo yule mwenye magari makubwa ya Jah People
Siyp darasa la 4. Aliishia darasa la pili. Hata jonanlake tu huwa anaandikankwa shoda sana.
 
Hivi Marais Wastaafu wangekubali hoja kama hiyo wakaamua kukaa maisha. Je huyo unayetaka akae maisha umempata? Hivi hawa watu wakoje?
Wao walikuwa kama Mh. Magufuli? Jibu kwanza hilo ndio uendelee kuchangia.
 
Ama kweli mardhi yote ugua lkn mhemko usiombeee. Sanga acha mhemko unapochangia hoja unaifanyia uhaini katiba ya nchi bila kujitambua. Pole mzakendo.
 
Sisi wengine tuko mbali na luninga, hicho kilikuwa kipindi gani bungeni?, bila shaka ulikuwa mswada wa kugawa sifa.
 
Back
Top Bottom