Recent content by BABA NI CCM

  1. BABA NI CCM

    Umri umefikia, natafuta mwanamke wa kuoa ila awe na hela

    Ingetosha kumuacha Mwamba atafute anachotafuta. Hata simba dume anatafuta majike wanaojua kuwinda vizuri. Kikubwa jua namna ya kum-control huyo mwanamke. Ila huyu jamaa ni jasiri na kadhamiria, safi sana Bro. Keep it Up
  2. BABA NI CCM

    Ukiachana na tabia za kimtandao wewe ni mtu wa aina gani?

    Mi naipenda CCM pote pote mtaani na mtandaoni
  3. BABA NI CCM

    Swali kwa Wanawake wa kileo: Nini kilichowatoa majumbani na kuanza kuingia mitaani na maofisini kutafuta hela?

    Nimekumbuka kitabu cha mama yetu Penina Mhando NGUZO MAMA, kuna character anaitwa Chizi kama nakuona ukiwa kwenye nafasi yake. All in all maamuzi yawe logical tu
  4. BABA NI CCM

    Natafuta vijana watano tufanye biashara

    Na subscribe ntarudi Mkuu
  5. BABA NI CCM

    Ninahisi nimebugi, nataka tuandikishiane nimpe milioni 5 ya msingi. Anipe mwanangu atakapofikisha umri

    Bro pole kwa maswahibu ila ushauri wangu tuliza akili vizuri tafakari upya pros and cons kabla ya mambo mengine
  6. BABA NI CCM

    Haya ndio Madhara makubwa kuliko yote ya punyeto

    Hahah nmecheka kwa sauti sana
  7. BABA NI CCM

    Mnaomiliki na kutumia Volkswagen 'chuma ya mjerumani' ni gereji zipi mnafanyia service & repair? Popote pale nchini

    Ndugu nishauri jambo nkitaka kubadili engine ya VW T3 niweke engine ya Foresta unaweza nishauri vipi hapa na je engine gani naweza weka kwenye hii gari?
  8. BABA NI CCM

    Sanamu za wanyama mzunguko (roundabout) wa Msamvu, Morogoro.

    Unayo hoja mkuu. Swala la mantiki linatusumbua watanzania ndio maana ngumu kukuelewa mkuu
  9. BABA NI CCM

    Temba wa TMK wanaume ashushwa jukwaani baada ya kuwaponda Polisi kwenye jukwaa la wasanii wa CCM uwanja wa UHURU

    Ila msisahau Mh. Temba ni poti na poti anaona polisi kama raia mkakamavu tu
  10. BABA NI CCM

    Baba yangu anashinikiza mama aondoke nyumbani, kisa kuhudhuria vikao vya chama

    Mimi CCM ila hapa umeharibu komredi yaani 38yrs na upo hivi kweli?
  11. BABA NI CCM

    Kundi kubwa la viongozi na watu mashuhuri CHADEMA na UKAWA wabisha hodi ofisi za CCM

    Sasa wameanza kurudi ila bado kabisa huu ni mwanzo tu amini msiamini makubwa yanakuja _____
  12. BABA NI CCM

    Mtoto anachemkaaa akipimwa hana malaria....

    Labda amezidiwa na madini chuma mwilini, ila mpeleke hospitali kuna dawa atapewa/andikiwa Sent using akili yangu
Back
Top Bottom