Mtoto anachemkaaa akipimwa hana malaria....

feni si nzuri,mostly zinakua na vumbi hivyo kuleta madhara kwa mtoto,,paratemolna kumpunguza nguo inatosha,ni jukumu la mganga/dakatri kumchunguza mtoto ili kujua tatizo lake coz si kila homa ni malaria na kuna magonjwa mengi yanayopresent kama malaria
Kama first aid paracetamol ya watoto inakuwa na kipimo unaweza kumpa kupunguza joto. Juu ya bum is feni sifahamu kwakweli lakini huwa wazazi wanapewa hospitali ili kuokoa maisha ya mtoto.
 
Sababu za Mtoto kupata joto zipo nyingi njaa peke yake inapelekea joto kupanda.

Kama joto linapanda na anashindwa kula au kunyonya hiyo Ni dalili ya ugonjwa njia muafaka na haraka full blood picture Kama Ni viral au bacterial infection itajuoikana. Ukikosa ndio malaria. Kama kote Hakuna ndio utahitaji specialised type of diagnosis and treatment.
 
Mtoto haruhusiwi kuwashiwa feni. Paracetamol anaweza kutumia kulingana na ushauri wa daktari

Sent using Jamii Forums mobile app
Feni inategemea, kama ukitoka kujifungua tu ukawa unawasha feni basi feni halitamsumbua mtoto hadi ukubwa wake, na pia usipokuwa ukimfunika mtoto nguo unamuacha waz toka anapozaliwa bas anazoea hali iyo..

.manangu wawili bila feni hawalali kabsa usiku umeme ukikatika na usingizi kwao unakata

Watu walishangaa sana malezi yangu, sifuniki mtoto na manguo akiwa mchanga..na hasumbuliwi na kifua,


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hukamaliza kuandika lakini joto zaidi ya degree 37 si hali ya kuiacha kwa muda mrefu.

Kama una feni muwashie
Mmkande kwa maji ya baridi
Punguza nguo ikiwezekana abaki na nepi
Mpe Panasonic au paracetamol
Nadhani mleta mada hajatoa Maelezo ya kutosha. Amesema tu joto la Mtoto lipo juu na hana Malaria.

Lakini inabidi kujua umri wa Mtoto,
Hali anayo kwa muda gani?
Kama joto linakuwepo muda wote au kwa kipindi fulani?
Kama Mtoto anakohoa?
Kama Mtoto anakula vizuri au la?

Mtoto anapokuwa na joto Kali na upo nyumbani, basi mpe panadol ili joto lishuke kabla ya kumpeleka hospitali. Na Kama hospitali ipo karibu basi mpeleke moja kwa moja.

Kupanda Joto kwa mtoto kunaweza kuchangiwa na UTI au hata tonsillitis.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda amezidiwa na madini chuma mwilini, ila mpeleke hospitali kuna dawa atapewa/andikiwa


Sent using akili yangu
 
Hukamaliza kuandika lakini joto zaidi ya degree 37 si hali ya kuiacha kwa muda mrefu.

Kama una feni muwashie
Mmkande kwa maji ya baridi
Punguza nguo ikiwezekana abaki na nepi
Mpe Panasonic au paracetamol
asante kwa ushauri nimeshamalizia kuandika
 
Feni inategemea, kama ukitoka kujifungua tu ukawa unawasha feni basi feni halitamsumbua mtoto hadi ukubwa wake, na pia usipokuwa ukimfunika mtoto nguo unamuacha waz toka anapozaliwa bas anazoea hali iyo..

.manangu wawili bila feni hawalali kabsa usiku umeme ukikatika na usingizi kwao unakata

Watu walishangaa sana malezi yangu, sifuniki mtoto na manguo akiwa mchanga..na hasumbuliwi na kifua,


Sent using Jamii Forums mobile app
Vitu vingine huwa ni kurithi au kuzaliwa na uwezo binafsi kuyakabili mazingira na ndio maana rafiki na majirani wanashangaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakushauri utulize mawazo kwanza. Tafuta ukweli wa tatizo la mtoto kutoka kwa madaktari, hasa wanaoshughulika na matatizo/magonjwa ya watoto. Namaanisha umpeleke HOSPITALI hapa utapata "KILA USHAURI".
 
Mpimeni full blood picture na u.t.I utapata majibu
Full blood picture akipimwa tarehe 6 ikaonekana ni bacteria infection hvyo nikapewa tu dawa ya kuongeza damu kutokana na damu ilivyokuwa imeshuka
 
Kwanza pole sana, kutokujua tatizo inaumiza na kusumbua sana.
Je mtoto anatapika?

Mara nyingi viral au bacterial infection husababisha joto kupanda sana, unaweza kumpa dawa za kutuliza maumivu (Panadol au Paracetamol) akikaa hata lisaa limoja haliishi, joto linapanda tena.

Wengi wanapewa antibiotic wakifikiri wanatibu UTI au infection lakini tatizo haliishi. Kwanza usimfunike nguo ikiwezekana mwache na nepi tu pia uwe unamkanda na kitambaa cha maji baridi kushusha joto.
Akaangaliwe infection imetokea wapi, anaweza kuwa hawezi kunyonya vizuri kwa kuwa na vidonda au michubuko kwenye kinywa au aangaliwe masikioni pia.

Mungu akutangukie na apate uponyaji upesi mkuu.
 
Mkuu wew ndio dokta sasa.

Nisaidie mkuu na mm nizijue dawa za kutibu hilo tatizo angalau kwa majina.

Maana hata mm nafahamu hilo tatzo madaktar wengi hawalijui na huwapa watto wengi dawa kwa kuhis ni tatizo jingine na kushindwa kujua ni nn tatizo kwa mtto.
Anaweza kuwa na mchango yaani huwapata watoto mwezi unapoandama magharibi, unapokuwa utosini au katikati na unapoelekea kupotea mashariki. Wazazi wengi kama sio wote hutumia dawa za asili au kienyeji.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom