Umri umefikia, natafuta mwanamke wa kuoa ila awe na hela

Kila mtu aishi aonavyo, sisi ni nani kuanza kujaji. Tafuta mtu kulingana na vigezo ulivyojiwekea. Kila la heri...
 
Sitaki kupoteza muda maana kichwa cha habari kinajidhihirisha.

Natafuta mwanamke wa kuoa ila awe na hela. Najua wapo wa kunipinga na wengine wapo wa kunishauri kuwa eti "nitafute pesa ili nipate mwanamke wa kuheshimu".

Kwa mawazo yangu na ukweli niujuao ni kwamba, "mapenzi hayachagui wala hayabagui".

Natafuta mpenzi mwenye pesa maana kwa idea nilizonazo endapo tu nipata mwanamke mwenye pesa basi nitaongeza kipato chake mara mbili zaidi ya pesa alizonazo. Kama hutaki kuamini basi wewe dada nitafute PM na uwe serious kama nilivyo.

Nahitaji mwanamke wa kuoa maana nipo mpweke sana na nahitaji mtu ambaye tutaishi naye ili kujenga familia na kuwa na watoto kwaajili ya maisha ya baadaye. Natamani kupata mtu ambaye kama atakuwa anawiwa tufanye vitu vya kuishangaza dunia na JF included.

SIFA ZANGU:

Dini: Roman Catholic
ELIMU: Soma mwandiko wangu
Umri: Under 30
Kazi: ......
Kasi ya mapenzi: 1 hour for two goals (I mean Kunyanduana)
Marital status: Single
Kabila: Tutajuana PM
CONTACT: Njoo PM
Quality Intelligence: Tutapima
Mtoto: Sina
Makazi: Tutajuana PM


SIFA ZA MTU NINAYE MHITAJI:

1. AWE NA HELA
2. Kabila lolote
3. Dini yoyote
4. Aishi sehemu yoyote ile duniani
5. Anipende


NB: Kwa yeyote aliye serious naomba aje PM na nipo serious.

Mwisho: Nahitaji mke kutoka moyoni mwangu mbele ya hii public ya watu zaidi ya laki 5.

Naomba kuwasilisha.
Unataka mwenye hela afu wewe uendelee kuwa mwanaume au utampa uanaume wako naye akupe uanauke wake (KIMAJUKUMU)
 
Ingetosha kumuacha Mwamba atafute anachotafuta.

Hata simba dume anatafuta majike wanaojua kuwinda vizuri.

Kikubwa jua namna ya kum-control huyo mwanamke.

Ila huyu jamaa ni jasiri na kadhamiria, safi sana Bro. Keep it Up

Amina
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom