OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
- Thread starter
- #21
Yeah pia ni wazo zuri sana nita update uzi.Nafikiri ungeandika pia Kila mmoja awe na Mtaji kiasi gani ili uwapate watu wenye sifa stahiki
Yeah pia ni wazo zuri sana nita update uzi.Nafikiri ungeandika pia Kila mmoja awe na Mtaji kiasi gani ili uwapate watu wenye sifa stahiki
Kaka wewe ni mmoja wa watu ninao wahusudu sana na ndo maana nikatamani sana huone huh uzi ..ivyo itakuwa ni vizuri ukawa mentor wetu maana ni jambo la serious na nikipata watu watakao kidhi vigezo bila shaka nitakushirikisha mkuu ..Mungu akawe pamoja nanyi ktk kila zuri mtakalo jadili,Akasaidie ktk upatikanaji wa vijana wakweli na wenye nia njema na Awafanikishe ktk viwango vile mlivyo tamani iwe,Ni idea nzuri sana sana sana kama mtakutana wote mna nia na lengo 1 isitokee mkapshana ktk maono yenu hakikisheni wote target yenu ni 1.
nimeipenda sana lakini mimi ni moja wa vijana wasio amini ktk biashara za ushirika yani boss zaidi ya mmoja,ila hii hainifanyi niwaache peke yenu bado nitakua pamoja nanyi wakati wote mtakaonihitaji kimawazo/ushauri/pesa kama mko serious,Count me in nitawasaidia kama vijana wenzangu tu.
Sawa.Wizi huu
Hongera sana kiongozi,nina mda mrefu nimekuwa nikifatilia machapisho yako kiukweli wewe una attitude nzuri sana hasa kwenye nyanja za kimaendeleo na uchumi wa mtu mmoja na jaami yote kwa ujumla, unatoa advise bila umimi (ubinafisi) hongera sana ndugu sisi wadogo zako tunajifunza mengi kupitia machapisho yako japo some time huwa hatukuambii endelea kutushika mkono kwa namna yoyote ile.hongera sana sana 🙏🙏🙏Mungu akawe pamoja nanyi ktk kila zuri mtakalo jadili,Akasaidie ktk upatikanaji wa vijana wakweli na wenye nia njema na Awafanikishe ktk viwango vile mlivyo tamani iwe,Ni idea nzuri sana sana sana kama mtakutana wote mna nia na lengo 1 isitokee mkapshana ktk maono yenu hakikisheni wote target yenu ni 1.