Recent content by Baba Moh

  1. Baba Moh

    JamiiForums Tanzania Mbona Instagram inatumia bando kubwa sana?

    Download instapro apk login in nenda setting reduce photo quality na video quality zima autplay utasave vigb zako
  2. Baba Moh

    JamiiForums Tanzania Audio Tunatumia Shazam Kuutambua Wimbo, Vipi kwa Video Ambayo Huijui Unatumia App Gani?

    Download Google lens screenshots hiyo clip afu search kwa Google lens
  3. Baba Moh

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania hawatumii aina hii ya matofari?

    Hizo tofali zinatumika sana Lusaka nchini Zambia
  4. Baba Moh

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua tiba mbadala ya mgongo

    @Maya Angelou naeza nikaipata wapi hiyo dawa nina shida kama hiyo
  5. Baba Moh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ananikata moto hajui tu

    Bora hata wewe amekublue tick kuna wengine tulisomesha kupewa namba tukapata mwisho wa siku linamba lenyewe halipatikani Mpka kesho...inakera sana
  6. Baba Moh

    JamiiForums Tanzania Swali: baada ya kusafiri umbali mrefu, ni muda gani yapasa upite gari ndo izimwe.?

    Sidhani kama hiyo itakua na madhara sababu kwenye injini kuna oil pump na ili hiyo oil pump ifanye kazi lazma ipate mzunguko wa crane shaft Kwahyo kitendo cha kuwasha gari lako tu oil inakua Isha sambaa sababu ya high pressure Inayo tengenezewa na oil pump na kadri unavoongeza speed ya injini...
  7. Baba Moh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siamini kama leo naumwa kwaajili ya mapenzi

    May day may day..another man down..need back up..i repeat man down....
  8. Baba Moh

    JamiiForums Tanzania Foleni kubwa Morogoro road

    Amkeniiiiii zinatembeaaa
  9. Baba Moh

    JamiiForums Tanzania Fahamu kitu cha kufanya ikiwa simu inakuwa ya moto mara kwa mara

    Ili tatizo nishakumbana nalo ila baada ya kuupdate kwenda android 10 sijaona tena hilo tatizo
  10. Baba Moh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kauli hii ya mke wangu imenishtua kidogo

    Mwanakulitafuta mwanakulipta
  11. Baba Moh

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Kikubwa uhai tu
  12. Baba Moh

    JamiiForums Tanzania Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Vipi mkuu imekubali? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Baba Moh

    JamiiForums Tanzania Pakua Poweramp player isiyo na mpinzani

    Wakuu apa kwenye kustream vipi aise mbona sielewi?? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom