Pakua Poweramp player isiyo na mpinzani

Pakua Poweramp player isiyo na mpinzani

Nimeanza kuitumia muda tu , niliamua kuachana na software za kuokota na kuroot sababu kuroot simu kunapelekea application nyingine za kibenk kutokufanya kazi, sasa hiv nikipenda app nanunua tu sitaki ubabaishaji.
Sure mkuu... ila hapo kweny kuroot ,next time root.kwa magisk..hii ina feature ya kuhide root kwa apps ambazo hutak zijue kama uko rooted
 
Mim naitumia na player ya simu tu...ndio napata sound takatifu mkuu
Nimejaribu kuiconfigure na Poweramp mziki base moja hatar sana still nahitaji nitulie nitengeneze setting nzuri
 
Haha ukipata setting kali share nirudishe poweramp
Nimejaribu kuiconfigure na Poweramp mziki base moja hatar sana still nahitaji nitulie nitengeneze setting nzuri
 
Wakuu apa kwenye kustream vipi aise mbona sielewi??
Screenshot_20200221-011722_Poweramp.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
H
Hahah kitonga ndio bei gani...Tafuta rock zircon bei yake affordable..ina balaaa sana

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Hapa Bongo zipo hizi?? Na kama zipo,zinapatikana wapi? Asante
 
Wakuu,kumekua na music player tofaut za simu zetu,ila hadi sasa sizan kama kuna wa kuipita Poweramp...

Tangu enzi za symbian hii player ilkua yamoto..na ilikua ngumu sana kuchakachua..

Jinsi ya ku install,anza kuinstall unlocker kisha malzia na poweramp yenyewe..

View attachment 848786View attachment 848787

Sent from my SM-G920P using Tapatalk

Mkuu hizi link zina muda maalum wa ku-download au inakuaje coz naona imenigomea kiongozi...!

Msaada tafadhali. Thanks.
 
Wakuu,kumekua na music player tofaut za simu zetu,ila hadi sasa sizan kama kuna wa kuipita Poweramp...

Tangu enzi za symbian hii player ilkua yamoto..na ilikua ngumu sana kuchakachua..

Jinsi ya ku install,anza kuinstall unlocker kisha malzia na poweramp yenyewe..

View attachment 848786View attachment 848787

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
mukuu una cracked link ya hii kitu ambayo haizingui?
 
Back
Top Bottom