Swali: baada ya kusafiri umbali mrefu, ni muda gani yapasa upite gari ndo izimwe.?

Vipi kuhusu unapoiwasha Gari asubuhi? hasa kwa hizi gari za kisasa,kuna umuhimu wakiu warm up Gari kabla ya kuanza safari?
Kitaalamu imekaaje hii?
Siyo kusafiri tu ni kawaida ukiiwasha gari ipe walau dk 3,4,5 na ukiwa dereva mzuri ukiiwasha itakuwa na hidring speed ya juu kidogo kisha baada ya muda italudi normal kisha mwwndo mdundo
 
Kwa waliosoma NIT najua hz manuals wameshakutana nazo.
Nit kuna wataalamu wapo shallow vibaya , sijakwenda shule ila I can outsmart wataalamu wengi pale .
Elimu yetu haiko practical ndo sababu mtaalamu anakwambia ati kuna components za engine zikipata moto zinabadilika shape !!! , Kwa precision iliyopo kwenye piston , rings main na cone bearing halafu uwe na structural change ??! Mtaalamu wako anaelewa kweli hata kwa nini piston ni alluminiumn na sleeve ni steel?
 
Therefore unamaanisha kwamba upo competent kushinda wataalamu wa NIT in every aspect kuhusu magari? Unafikiri mitaala huwa wanaibuni out of blue na kwamba haina practicality?
 
Therefore unamaanisha kwamba upo competent kushinda wataalamu wa NIT in every aspect kuhusu magari? Unafikiri mitaala huwa wanaibuni out of blue na kwamba haina practicality?
Unadhani kwa nn wataalamu pale hawana msaada ? Nilikwenda na tatizo fulani pale nikaelekezwa kwa wataalamu wanaoaminika , non of the two had even clue ya kinachotakiwa kufanyika

Car diagnosis kwa sasa ni biashara kubwa , maana gari nyingi ni full electronics
Kwa nini mafundi hawa wengi wapo uchochoroni na sio NIT ?
 
Anyway-Tukubaliane kutokukubaliana :) :)
 
Mkuu unachoamini hata kama umeambiwa na mtaalamu wa Nit sio sahihi.
Under normal conditions hakuna part yoyote inayobadilika shape kutokana na joto la engine ., La sivyo tungepata blow by na extreme oil consumption when engine is hot ..engine parts zinatengenezwa na torelance kubwa sana ya joto .
Kwamba part ilibadilika shape kutokana na joto la engine? kweli nchi hii kuna wataalam aiseee.
 
Nit kuna wataalamu wapo shallow vibaya , sijakwenda shule ila I can outsmart wataalamu wengi pale .
Elimu yetu haiko practical ndo sababu mtaalamu anakwambia ati kuna components za engine zikipata moto zinabadilika shape !!! , Kwa precision iliyopo kwenye piston , rings main na cone bearing halafu uwe na structural change ??! Mtaalamu wako anaelewa kweli hata kwa nini piston ni alluminiumn na sleeve ni steel?
Ha ha ha mimi niliamua niache hii discussion, swali la mwisho niliuliza component zinazopoteza shape ni zipi sijapata jibu.
 
Ha ha ha mimi niliamua niache hii discussion, swali la mwisho niliuliza component zinazopoteza shape ni zipi sijapata jibu.
Assertion yako ya kwamba you don't rely on literatures katika arguments- Technically inafanya discussion to lead to the road of no where.
 
Yaaa mkuu madhala yanaweza tokea maana oil itakuwa haijasambaa vya kutosha sasa kuna sehemu zitafanyakazi kupita kiwango bila ya kuwa na oil ya kutosha unaweza usione madhala kwa hapo hapo sasa ikiwa ni tabia baadae utakuja elezwa
Sidhani kama hiyo itakua na madhara sababu kwenye injini kuna oil pump na ili hiyo oil pump ifanye kazi lazma ipate mzunguko wa crane shaft Kwahyo kitendo cha kuwasha gari lako tu oil inakua Isha sambaa sababu ya high pressure Inayo tengenezewa na oil pump na kadri unavoongeza speed ya injini yako ndo pressure inavyokuwa kubwa zaid

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Generally, turning off the naturaly aspirated (Non-Turbo Engine directly will never cause any problem and you can do so even if you drive the car for long distances and for more than 5 hours....

but with a TurboCharged Engine you are mostly likely to damage the turbocharger so u ar adviced to let it cool down for atleast 3 to 5 minutes or u can solve the problem by buyin and install the device called TURBO TIMER which wil help keep the an engine runing and turbocharger spining even after u switch of an engine til the running parts are completely cool down

why?

Cars are designed according to high tolerance standards for all weather conditions. Cars are tested in different weather conditions such as the conditions of the Arabian Gulf climate and its high temperatures and also in the cold weather.

So engines bear high temperatures and you should not always cool the engine before turning it off unless there is a problem in the engine.

You may not know:

The temperature of the engine and its parts while deriving for long distances on highways is less than driving on crowded streets.

Why?

Driving on crowded streets leads to increase the temperature of the engine. On the other hand, there are several ways to cool the engine when driving on the highways even if for long distances. The car fan and the 120 speed wind cool down the engine and the whole car as well.
Ongea kiswahili
 
NIT ni wazee waliosoma miaka ya 70.

Mambo mapya mjini kuhusu magari yameshawapiga kikumbo.
Asante sana mkuu
Kwa case hiyo they don't deserve kuwa pale as technicians, maana tunawategemea.
Nilikwenda pale na Ecu ilikuwa inahitaji remapping majibu waliyokuwa wakinipa nilidhani nipo kwa mganga wa kienyeji . Ecu ilikwenda kuponea uchochoroni.
 
Kwamba part ilibadilika shape kutokana na joto la engine? kweli nchi hii kuna wataalam aiseee.
Inasikitisha sana mkuu, zile heavy metals pale kwenye crankcase zinavyopishana kwa precision ile halafu kuwe na structural change due to heat factor !!!
Halafu ndo umpelekee Vw amarok imegoma throttle response !!! , Utafurahi na roho yako, lazima utaikimbia gari
Na hii ndio sababu watu wanaogopa sana magari latests , ukipata changamoto wataalamu wa makaratasi wanabet na pesa zako na gari haliponi.
 
Kwa gari ambayo sio haina turbo, unaweza kuiacha hata kwa dakika 5 ishushe pressure ya oil katika is a mzunguko before haujaizima.

Kimsingi umetembea masaa kadhaa road is halafu ufike na kuzima papo hapo haijakaa sawa. Kwanza utasikia hata mlio wa engine ukishasimama baada is ya safari ndefu unashuka taratibu kumaanisha pressure inashuka ndani ya engine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom