Ananikata moto hajui tu

Ananikata moto hajui tu

Kwa uzoefu wangu maranyingi ukimuomba msichana namba akakupatia halafu baadae unamtumia text anaishia kutizama tu hajibu hapo jua kabisa kuna vitu kadhaa vinamuongoza kufanya maamuzi hayo.

1. Hajapendezwa na muonekano wako. Wasichana wengi hasa hawa wa vyuoni hasa mwaka wa pili au wa tatu hawa wameshazoea kudanga na watu wenye hadhi fulani sasa ukienda wewe na ndala zako unalazimisha namba atakupatia lakini mwisho wake utakua ndo huo.

2. Huenda ndo kwaanza yupo kwenye penzi motomoto. Mara nyingi katika hatua hii msichana hua hana muda na hawa wanaoimba namba barabarani kwa sababu moja kwa moja hisia zake zitampeleka kwamba huyu anataka kunitongoza hivyo hatokupa ushirikiano ili kuepuka usumbufu na kupelekea kuleta shida kwa mpenzi wake.

CHA KUFANYA
Wewe endelea ku view status zake akiweka picha nzuri msifie akijibu muitikie huku ukichunguza reaction yake kama je! Ninaweza kuendelea na mazungumzo au hapana.

Akijirekodi kavideo chenye nyimbo nyuma yake reply mwambie nimeipenda hio nyimbo naomba nitumie. Akikutumia mwambie napenda sana nyimbo zenye mahadhi haya kama unazo baadhi tafadhari pia naziomba basi unatafuta na story ya kuungia taratibu.

Ila ningekua mimi kwa ninavyojijua ningesha Mmute mapema sana...
Hatuna tofauti chifu,Mapema Ningekupa kona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo hajakuelewa..... Unatemana nae kimya kimya..... Usimtafute tena na namba yake unafuta.....

Kuna watu wamekuja Duniani kuringa na kupoteza muda..... Na ukihangaika nao kichwa chako kitachemka....

Why uhangaike na mtu asiyejitambua au asiyejua anataka kitu gani.....?!

Mimi personally sipendi kuwasiliana na watu wasiojielewa wao ni akina na wanataka nini katika haya maisha..... Kwa kifupi watu wasiokuwa realistic na maisha yao....

Unakuta binti unatoka katika family background ya kawaida sana.....

But unaanza kujiona ni levels za akina Beyonce na Rihanna, yaani sababu rangi ya ngozi ni ya chungwa au nyeupe, au sababu una makalio makubwa, shepu nzuri, nywele nzuri, sura nzuri na kadhalika unajihisi wewe ni first class human..... Takataka kabisa....

Mtu akiringa temana nae.....akatafute anaotaka wawasiliane nae.....
Salam ni mara moja tu, akisoma akakukaushia tupa huko........achana nae...

Jamaa umeongea kweli kabisa. Mi mtu akianza kuketa pigo kama haeleweki eleweki, yan kama anakupima imani mara leo yuko fresh af kesho analeta miyeyusho huwa napitaga hiviiii... anakuja kustuka aliachwa kitambo
 
Habarin humu.!

Nisipoteze muda niende kwenye mada.

Aisee kuna vitu vinakata moto sana. Mtu umesota kupata namba yake, haya umembananisha ukapata namba yake, tena amekupa bila hiyana na bashasha tele, halafu unamcheki anaku blue tick halafu hajibu

Ananikera ila sina jinsi bado nakaza mpaka dakika ya mwisho.

Mabaharia huwa mnafanyaje...?

NB: Ka-feeling ka-mtu kuku blue tick jaman nyie kaacheni tu
Bora hata wewe amekublue tick kuna wengine tulisomesha kupewa namba tukapata mwisho wa siku linamba lenyewe halipatikani Mpka kesho...inakera sana
 
MTINDO MPYA WA MADADA.
Kwenu mabaharia wenzangu. Sasaiv wadada wamezusha katabia flani cha kijanja sana. Ukimuomba namba anakupatia vizuri kabisa. Mkianza kuchat anakupa ushirikiano wa hali ya juu sana.

Sasa wewe utapigwa na butwaa kwamba inakuwaje mtoto mzuri hivi halafu anaonekana mrahisi basi unampanga weekend njoo unitembelee anakujibu sawa nije jumamosi au jumapili? Siku nyingine mkiwa mnapigapiga story anakukumbushia tena kwahiyo nije jumapili au hata jumamosi?

Basi kwakua mmeshapiga sana story na yeye ameshakuahidi anakuja na kwenye mazungumzo amechangamka tena siku nyingine anakupigia yeye unasema yees! Mtoto ameshanielewa.

Kimbembe kinaanzia hiyo siku mlopanga kuonana. Anaanza ooh! Yani nipo tu nyumbani sina hela wala nini km unayo nitumie ili nianze kujiandaa kabisa ili nije mapema nikupikie kama ukuhitaji.

Sasa ukitafakari mtoto amekupa ushirikiano siku zote hizo mzee unasmua kujilipua liwalo na liwe unatuma mzigo tena wa kupanda boda kabisa ili asipate usumbufu. Basi baada ya kutuma tu anakublock kuanzia WatsApp, normal call na message ndo imeisha hivo.

Ila hakuna namna kutuma nauli haitofautiani sana na mchezo wa kubeti mkeka unaweza ukatiki au ukachanika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom