Naomba kujua tiba mbadala ya mgongo

Naomba kujua tiba mbadala ya mgongo

Dawa ya maumivu wa mgongo inaweza patikana ila ni vyema ukinipa maelezo zaidi. - Je umesha wahi kujifungua kwa Upasuaji? - Na je makali ya maumivu unaoyapata Unayahisi ya aina vipi? (Kama unachomwa sindanu? Au kama unawashwa moto nyuma ya mfongo?) Tuma maelezo yako kwa pm
NakuPm
 
My dear tumia anthrox na zaminocal haifiki hata laki na nusu.

Ni nzuri zimemsaidia mama alikuwa na shida ya mgongo disc na magoti.
 
Pole sana, weight pia ni tatizo, nina rafiki alifika mpaka muhimbili akauktana na Dr wa mifupa X-ray ikaonyesha yuko poa kucheck uzito ikaonekana ana uzito mkubwa akaambiwa ajitahidi kupunguza uzito akampa options kama kupunguza kula vyakula vya wanga na baadhi ya vyakula na ajitahidi kufanya mazoezi.

Akafanya yote ndani ya miezi miwili akawa anajisikia poa, siku msikia tena akilalamika mgongo mpaka leo... kwa ss anapambana sana kushusha uzito ili kujiweka fit zaidi
 
Pole sana, weight pia ni tatizo, nina rafiki alifika mpaka muhimbili akauktana na Dr wa mifupa X-ray ikaonyesha yuko poa kucheck uzito ikaonekana ana uzito mkubwa akaambiwa ajitahidi kupunguza uzito akampa options kama kupunguza kula vyakula vya wanga na baadhi ya vyakula na ajitahidi kufanya mazoezi. Akafanya yote ndani ya miezi miwili akawa anajisikia poa, siku msikia tena akilalamika mgongo mpaka leo... kwa ss anapambana sana kushusha uzito ili kujiweka fit zaidi
Asante best
 
Aiseeh fanya mazoezi dada yangu.

Punguza uzito. Achana na hayo madawa. Utakuja kunishukuru. Mimi nimewahi kupitia Hilo shida ila mazoezi ya kupunguza uzito yamenisaidia sana. Najisikia vizuri na mwepesi.
 
Habarini za majukumu ndugu zangu.

Nasumbuliwa sana na mgongo, niliwahi piga X-ray na imeonyesha pingili hazina mpishano mzuri kutokana na ukaaji chini muda mrefu. Dr alinishauri niwe navaa mkanda kwajili ya kunyoosha pingili lakini naona hali bado sio shwari.

Nilijaribu kwenda kwa wale madokta wanaounga mifupa kwa vijiti, wakanambia wananyoosha pingili kwa gharama ya laki 5 (500,000) naomba msada wenu kwa yeyote anayefahamu tiba mbadala ya hiyo anifahamishe kwakuwa sina pesa hiyo ya kwenda kunyooshwa.
Asanteni [emoji1317]
Upo wapi. Ndugu nione urahisi wa kukuhudumia.IKIWA VEMA NITUMIE PM NAMBA YAKO YA WHAT'S APP TUZUNGUMZE
 
Una uhakika unacho kisema dada? unajuwa Wachina wanazo dawa za artificial herbs? Sio dawa organic Herbs. Dawa zao hazitibu maradhi yoyote yale ni dawa za biashara tu.Haya maneno aliwahi kusema Mwalimu wangu wa Tiba Marehemu Doctor Sebi kuwa wachina dawa zao ni nyingi dawa feki .
Usitumie Tiba za kichina ni za muda mfupi baadae maumivu yatarudi hutatibika
 
Tangu umeanza Kufanya ivyo umepata nafuu?
Nikushauri usikanyagwe mgongoni kwani yaweza kuwa mnatofautiana tatizo na mgongo nikiungo muhimu kuliko moyo mkuu.ukikosea kidogo tu ni ulemavu was kudumu
 
Habarini za majukumu ndugu zangu.

Nasumbuliwa sana na mgongo, niliwahi piga X-ray na imeonyesha pingili hazina mpishano mzuri kutokana na ukaaji chini muda mrefu. Dr alinishauri niwe navaa mkanda kwajili ya kunyoosha pingili lakini naona hali bado sio shwari.

Nilijaribu kwenda kwa wale madokta wanaounga mifupa kwa vijiti, wakanambia wananyoosha pingili kwa gharama ya laki 5 (500,000) naomba msada wenu kwa yeyote anayefahamu tiba mbadala ya hiyo anifahamishe kwakuwa sina pesa hiyo ya kwenda kunyooshwa.
Asanteni [emoji1317]
Ni kwa muda gani Sasa mgongo unauma?
 
Back
Top Bottom