Sijafanikiwa kupata tangazo kwa haraka, nimeomba mtu wa karibu anitafutie then anitumie.
Ili tusichelewe naomba nikutumie namba PM ili uwasiliane na huyo mtu moja kwa moja kwakuwa mm nakuwa bize sana.
Naamini utafanikiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Electrical technician anahitajika Mamlaka ya maji Korogwe - Tanga, ngoja nicheki tangazo lao kama bado muda wake haujaisha halafu nikutumie.
Sent using Jamii Forums mobile app
daaah pole sana mdogo angu! jaribu kujifunza toka kwake nikiwa na maana uwe mpole kwan huna namna ya kuzirudisha hizo pesa, japo ulizitumia sahih kabisa. nijibu maswal haya then ntakupa ushauri.
1. hizo dola 900 alizituma ili uzitumie au umuwekee ktk a/c yake?
2. ulimshirikisha kuwa unataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.