Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,914
Kwanini?Kutamani mwanamke sio TATIZO!
Unajua maana ya kukamilika wewe?Bali ni hisia za kawaida kabisa kwa kila mwanamme aliye kamilika.
Sikubaliani nae na sababu nimetoaWewe kama ni muumini basi fuata ushauri wa muanzisha uzi.
Kama unaweza nenda na uzikane sababu hizo kwa hoja
Wewe hizi zako sio story?Lkn kuleta stori za wewe kutazama zile nyama kubwa na usiwe na tabu nazo siku mizimu ikichangamka una hatari ya kubaka kabisa.!😀😀😀
Wanaobaka wana matatizo niliyoyasema tayari
Unakana kwa sababu gani?
Au hujanielewa?