Mwanajamiiforums nakuomba upitie hapa tafadhali

Mwanajamiiforums nakuomba upitie hapa tafadhali

Unajua mwenzenu ana shida na anaomba msaada kama binadam mwenzako jaribu kuvaa uhusika wake then ndio umjibu, ushauri tu, kama una access ya kumsaidia, msaidie kama huna usimkejeli, coz haya maisha, aliyekupa wewe ndie amemnyima yeye!! inaweza kua wewe unayejibu kejeli siku moja yakakukuta then mtu akikukejeli utajiskiaje?? kuweni na ubinadam!! pole sana man inshalaah mwenyezi mungu atakusaidia utafanikiwa tu!! Tumesikia maombi yako sisi wenye kuelewa!!
True mkuu..mtu anasema huku umeingiaje..sasa vocha ya mia tano ndo kusema anapesa ya kuweza kujiajiri??..watu sijui wakoje
 
mkuu ucwaze sana ndani ya box waza na nje ya box. hapo ulipo safar bado mkuu kuna leo na kesho leo yang mbay yako nzuri ucjione sana ,,maan kesho yako yaweza kuwa mbaya kuliko hi leo yngu
Excellent, fantastic message!!
 
Unajua mwenzenu ana shida na anaomba msaada kama binadam mwenzako jaribu kuvaa uhusika wake then ndio umjibu, ushauri tu, kama una access ya kumsaidia, msaidie kama huna usimkejeli, coz haya maisha, aliyekupa wewe ndie amemnyima yeye!! inaweza kua wewe unayejibu kejeli siku moja yakakukuta then mtu akikukejeli utajiskiaje?? kuweni na ubinadam!! pole sana man inshalaah mwenyezi mungu atakusaidia utafanikiwa tu!! Tumesikia maombi yako sisi wenye kuelewa!!
binadamu wanajisahau san mkuu leo mi sina ye ancho kesh nawez kuwa nacho ye han ukinijib kejel leo kesh ukapta shida utakujaj kwang dat z life tu mkuu thnkx kwa kuelewa
 
Ingia VETA ada zao nafuu mno upige fani utatoka tu mbona.
 
wakuu mbele yenu naombeni msaada wenu
naomben shughuli zinazohusian na usafirishaji hasa mabasi makubwa,kuuza duka,na biashara mbalimbali makampuni hata garden uhouse boy . nafanyah ali ni mbay mnooo ndugu zangu sina kazi yoyote tokea nimalize kidato cha nne. nilitamani kuendelea kusoma lakini nilipungukiwa maksi kidogo nilipata division 4 ya 26

hist C
geog D
civics D
english C
kiswahili C
biology D
maths F

naombeni yoyote anaewez kunisaidia kwa namn moja ama nyingine hii inachangizqa n hali mbay ya nyumbn mzee akiw na miak minne sasa haoni sababu ya ugonjwa wakisukari na mam nae hana biashara Iinayoeleweka natamn kuwasaidia wazazi wakuu ila sina kazi naombn sana wakuu
location. iringa mjini napatikan
Kajifunze kulima nyanya na mbogamboga ilula kule. Achana na dhana ya kuajiriwa na mtu yeyote unachelewa kusonga mbele.
 
Kajifunze kulima nyanya na mbogamboga ilula kule. Achana na dhana ya kuajiriwa na mtu yeyote unachelewa kusonga mbele.
hivyo vyote nshahangakaika mkuu nimelima mboga lugalo kitwiru lakin hali inbak vilevile so naon nigo on nje ya box
 
Ndugu wa siku hizi sio ila ada za VETA haizidi laki 2 kwa mwaka upande wa boarding.
mkuu hiyo laki mbil unaitaj kirahis san lakin ni ishu niliwish nisomee at udereva tu kwakuw chuo hakipo mbali but pesa imekwama mkuu
 
Mungu akusaidie mkuu,natumaini utasaidiwa tu,wasamehe hao wanaokukejeli, Mungu atakusaidia,watu wema bado wapo duniani
 
Back
Top Bottom