Recent content by baba afrika

  1. B

    Maisha yananichanganya msaada tafadhali

    Kupewa ushauri ni jambo moja na kuuchukua ushauri huo ni jambo jingine.
  2. B

    Maisha yananichanganya msaada tafadhali

    Kwanza kabla hujaacha shule watafute watu walioacha shule alafu uwaombe ushauri juu ya kuacha shule na uone watakuambia nn. Pili kabla hujaanza biashara ya kuuza juisi ya miwa pamoja na mgahawa tafuta watu ambao wanafanya biashara ya miwa pamoja na mgahawa na wakafanikiwa kisha uombe ushauri...
  3. B

    Part one: Swali kwa wanaume tu

    Swali lako linauliza NI WANGAPI NA WALA SIO UTAJUAJE KAMA NI CHENI YA KIUNONI AU SIO. kwa maana hiyo jibu lazima liwe ni namba flani au mjumuisho wa kundi flani kama wote,kwa sababu neno wangapi lenyewe limeshonyesha kuwa jibu linalotakiwa lazima liwe kwenye mfumo wa uwingi kwa idadi lazima...
  4. B

    Kambi la masoja: Wanaume tunapeana maujanja ya vitu ambavyo ulikuwa huvijui kuhusu wanawake

    Naaaammmmm, Naomba nikufundishe jinsi ya kumkontroo mwanamke. Maisha ya mwanamke huongozwa na mwezi(mbalamwezi).mwezi huu ambao hutoa mwanga usiku. Tangu kuzaliwa hadi kufa kwa mwanamke mwezi ndo huongoza maisha yake yote so ukitaka kujua namna ya kumkontroo mwanamke manake lazima uwe na elimu...
  5. B

    Kambi la masoja: Wanaume tunapeana maujanja ya vitu ambavyo ulikuwa huvijui kuhusu wanawake

    Am back....... Kabla sijachangia kwanza niwatoe watu wasiwasi.mimi ni sexual coach/kocha wa mapenzi tena kwa kusomea so najua nnacho zungumza. Mwezi wa tano natarajia kufungua shule/kituo cha kufundisha watu juu ya kujamiiana maeneo ya kimara hapo. So wateja karibuni. Post ya kwanza niligusa juu...
  6. B

    Kambi la masoja: Wanaume tunapeana maujanja ya vitu ambavyo ulikuwa huvijui kuhusu wanawake

    Leo nimeamua kuandika humu kwa mara ya kwanza siri kubwa sana kuhusu wanawake kwa sababu kunasiku mwenye kurahi hii aliandika story moja ya tina zoa zoa ambayo niliisoma kidogo tu ila ikanifurahisha kwa muda so ili kulipa fadhira leo naandika humu kitu ambacho kitanfumbua kila mwanaume macho na...
  7. B

    Why most Men Fall Asleep After Sex and Women Don't?

    Thats not true.orgasm has nothing to do with the sleep of men soon after having sex.one have to know first the difference btn orgasm and ejaculation so as to understand about what cause a man to sleep. Orgasm has more to do with brain cos it occurs in the brain while ejaculation has to do with...
  8. B

    CCM inapitia wakati mgumu kuliko nyakati zote

    The mystery of life is a not a problem to be solved but a reality to be experienced
  9. B

    Nina 12tsh milioni, naweza kujenga simple room mbili, choo na bafu?

    Nunua kontena za kusafirishia mizigo 2 za futi 40. Kontena moja unapata hata kwa 1.5 m kwa sasa so jumla itakuwa ni 3M. Kontena kama kontena tayari ni nyumba inayojitegemea ila huwa na matatizo matatu tu ambayo huyafanya kontena lisiwe zuri kwa matumizi ya nyumba. Matatizo hayo ni: 1.joto- hali...
  10. B

    Gharama za ujenzi wa swimming pool

    Nunua kontela la kusafirishia mizigo lile dogo la inchi 20 ambalo gharama yake kwa sasa haizidi milioni moja. Tafuta turubai zito alafu ulizingishie kwenye kontena zima,sehemu ambazo zipo wazi. Chimba shimo sawa na vipimo vya kontena alafu tafuta fundi ai mtaalamu wa mifumo ya maji ili...
  11. B

    Why Black People and White People? (Kwanini kuwe na Mtu Mweusi na Mtu Mweupe?)

    Kinachosababisha tabaka flani la watu kuwa na rangi flani na lingine kiwa na rangi tofauti ni SUBSTANCE MOJA AMBAYO INAITWA MELANIN. Kimsingi matabaka ya watu hupangwa kwa kutumia kiwango cha MELANIN ambacho tabaka hilo husika huwanacho. Katika bimadamu wote watu weusi ndo huwa na kiwango...
  12. B

    Kwa nini Mayalla hajajibiwa au kwasababu anaonekana ana njaa.

    Alishajibiwa ila nadhani hukuelewa. Jibu lilikuwa hivi" izi nguzo zote unaweza ukaona zipo sawa kwa juu ila ipo moja ambayo kwa chini imechimbiwa zaidi"
Back
Top Bottom