Gharama za ujenzi wa swimming pool

1562013

JF-Expert Member
Jan 3, 2017
852
1,000
Habarini wandugu, poleni kwa mizunguko ya kutwa nzima.

Napenda kujua gharama za ujenzi wa swimming pool ndogo tu ya matumizi ya nyumbani. Natanguliza shukrani za awali.

Over!
 
RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
45,218
2,000
Habarini wandugu, poleni kwa mizunguko ya kutwa nzima.

Napenda kujua gharama za ujenzi wa swimming pool ndogo tu ya matumizi ya nyumbani. Natanguliza shukrani za awali.

Over!
Hata za matumizi ya nyumbani zinatofautiana size na bei.
 
twatwatwa

JF-Expert Member
Sep 19, 2011
2,068
1,250
gharama ya Ujenzi hiyo pool ni kubwa mkuu bajeti ndogo kabisa andaa kama mil 17 mpaka ishirini . tena kama unataka vifaa harisi vya hiyo swimming ni hatari sana. mfano tailizi moja ile frofesheno ya sm 30kwa20 bei yake aipungui 29000 kwa moja sio box. kuna moja ndo naimalizia Ujenzi bado kumbukumbu ninazo
 
baba afrika

Member
Dec 11, 2015
86
125
Nunua kontela la kusafirishia mizigo lile dogo la inchi 20 ambalo gharama yake kwa sasa haizidi milioni moja.
Tafuta turubai zito alafu ulizingishie kwenye kontena zima,sehemu ambazo zipo wazi.
Chimba shimo sawa na vipimo vya kontena alafu tafuta fundi ai mtaalamu wa mifumo ya maji ili akuunganishie na kontena.baada ya hapo utapata swimming pool ya bei rahisi ambayo haizidi milioni 2.
Kama hujaelewa ni pm au nitafute kwa namba hii
0625582109
 
Mibas

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
3,968
2,000
Swimming pool ndogo ya nyumbani yenye vifaa vya kisasa gharama yake sio chini ya 50M.
 
1562013

JF-Expert Member
Jan 3, 2017
852
1,000
gharama ya Ujenzi hiyo pool ni kubwa mkuu bajeti ndogo kabisa andaa kama mil 17 mpaka ishirini . tena kama unataka vifaa harisi vya hiyo swimming ni hatari sana. mfano tailizi moja ile frofesheno ya sm 30kwa20 bei yake aipungui 29000 kwa moja sio box. kuna moja ndo naimalizia Ujenzi bado kumbukumbu ninazo
Aisee nitakutafuta mkuu
 
1562013

JF-Expert Member
Jan 3, 2017
852
1,000
Nunua kontela la kusafirishia mizigo lile dogo la inchi 20 ambalo gharama yake kwa sasa haizidi milioni moja.
Tafuta turubai zito alafu ulizingishie kwenye kontena zima,sehemu ambazo zipo wazi.
Chimba shimo sawa na vipimo vya kontena alafu tafuta fundi ai mtaalamu wa mifumo ya maji ili akuunganishie na kontena.baada ya hapo utapata swimming pool ya bei rahisi ambayo haizidi milioni 2.
Kama hujaelewa ni pm au nitafute kwa namba hii
0625582109
Jf ndio nachopenda kuna vichwa vinajua mambo, shukrani mkuu
 
ex1950

Senior Member
Dec 12, 2015
126
250
91f44802c26ec1e3b44a8028fcc6f7d5.jpg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom