Recent content by Baba Adele

  1. B

    Kuna tatizo, mungu anaanza kukosea sasa

    Hakika ni mungu wako tu ndio hukosea kwa kuleta mitume na manabii, Mungu wangu alishafunga mjadala wa mitume na manabii. Namjua mtume wa mwisho na wa kwanza. Na tangu amekufa mtume wa mwisho sijasikia wala kuina tena kiumbe kina jinadi kua yeye ni mtume. Ushauri wangu kwako mtoa mada jaribu...
  2. B

    Hatimae Pedeshee Ndama akiri kutakatisha fedha

    Nakumbuka maneno yake tukiwa golden fork alinambia anataka kuishi maisha ya kutosumbuana na serikali kwani umri wake sasa ni wakutunza familia hivyo kujihusisha na mambo ya ujanja ujanja si vyema sasa. Lakin naona hesabu zimekataa.
  3. B

    Hakuna mpenda amani yeyoye atafurahia Vitendo vinavyofanywa na Korea Kaskazini

    Ndio maana hataki wengine wawe nazo ili aendelee kuinyanyasa dunia na awe Mungu wa dunia kama ilivyo sasa hakuna namna. Bora tufe kuliko kutawaliwa
  4. B

    Hakuna mpenda amani yeyoye atafurahia Vitendo vinavyofanywa na Korea Kaskazini

    Ni mara ngapi amerika imelazimisha vita. Eg iraq, syria, vp wanastahili kua na nyuklia?
  5. B

    Hakuna mpenda amani yeyoye atafurahia Vitendo vinavyofanywa na Korea Kaskazini

    Kama hujui historia ya Dunia, basi hujui siasa ya dunia, huvyo kuja na uzi kama huu ni wazi mtoa mada hujui siasa za Dunia. Korea kaskazin ni sovereign hivyo ina uhuru wa kujilinda kwa kuunda nyuklia, lakin faham kua kila anaemtia hofu marekani juu ya silaha za nyuklia basi marekan itamfanya au...
  6. B

    Utata na historia ya Salum bin Almasi aliyeuawa Kurasini akituhumiwa ni jambazi

    Sijelewa sentensi "kuamini ameawa ni shirki" Sayyidina Ummar aliawa na mafundishi yapo hivyo, ni shirki kuamini kua ameawa km sababu ya kifo chake? Nadhani nahitajinkujifunza kutoka kwako. Imani ya uislam ni shari na kheri vinatokana na Allah, na mwenye uwezo wa kutoa uhai na umauti ni Allah...
  7. B

    ZIMBABWE: Mchungaji aliwa na Mamba Watatu akijaribu kutembea juu ya maji kama Yesu

    Tatizo kubwa linalowakuata viongozi hawa wa dini ni kutaka wafanane na mitume au watu wema wa zamani ambao kimsingi Mungu alishawatofautisha sababu imani yao haikua na chembe ya shaka na imani hiyo ilitokana na kufunuliwa nguvu na uwezo wa Mungu. Sasa sisi wachafu, tunakula sadaka kwa njia ya...
  8. B

    Nini tofauti ya Hirizi, Rozali na Tasbihi?

    Tasbihi haina kazi nyingine yoyote isipokua hesabu, yani kumsaidia anaemsabih/kumtaja Mungu/Allah awe na kumbukumbu ya malengo ya idadi ya utajo anaohitaji. Laki lozari inanasibishwa na ulinzi au kumkubali yesu kama muokozi wa alieivaa au kuitumia, ndio maana utaona mtu anashika lozari kukemea...
  9. B

    Pumzika kwa amani mdogo wangu

    Allah awarehemu wadogo zetu inshaallah
  10. B

    "Mgonjwa" wetu Kinana Mbona hatembelewi kama wengine?

    Kuna watu wapo tu alimradi ni viumbe lakin hamna kitu kichwani, suala la msingi la uhai au uhuru wa mtu na wasiwasi tuliinao watzanzania anatokea punguwani analeta habari ya vyama. Khaaa nini chama hataa ukaweka ubinadam nyuma. Bora Mange kaamua kuokoka hatukani siku hizi kuna mijitu km hili...
  11. B

    Love don't cost a thing

    Hahahaha hatareee haya mambo bana hayatabiriki hata kidogo
  12. B

    Love don't cost a thing

    Asante mkuu, nafanyia kazi mawazo yenu.
  13. B

    Love don't cost a thing

    I did that, hapa nilipo kuna mtu namfata anamda dola 2000 anazingua ameahidi akiuza gari analipa ndo naenda ofisini kwake
  14. B

    Love don't cost a thing

    Asante sana mkuu, na huwez amini kila anaotoa mguu wake kwao lazma aniambie, na kuhusu simu ndo usiseme, hata akiona kitu insta au fb kinachomchekesha chenye fundisho lazma atashea na mm. Na tulijuana miaka mingi lakin nilikua namuona km ni mtu ambae sio level yangu japo nina kitu kimoja hua...
Back
Top Bottom