Hakuna mpenda amani yeyoye atafurahia Vitendo vinavyofanywa na Korea Kaskazini

Hakuna mpenda amani yeyoye atafurahia Vitendo vinavyofanywa na Korea Kaskazini

Mleta thread sijui ni lini utakuwa na afya ya akili... Marekani akitengeneza na kufanya test silaha zake za nuclear ni sawa ila akifanya N.Korea ni kumthibiti?

N.Korea ni nchi huru haipangiwi nini cha kufanya ndani ya nchi yake..... Ulisha wahi kumskia Kim Jong-Un akiipangia Marekani wasitengeneze silaha za nuclear?

Kama nyie mlisha zoea kupangiwa nini cha kufanya na wazungu bakini hivyo hivyo sisi N.Korea tunaamini sisi ni nchi huru..... Ukileta mipua yako tunaituliza nuke....

Bado tuna silaha za nuclear mpya chungu nzima stor tuna tarajia kuzifanyia majaribio.....As Soon as possible...
Kwa ubongo wako teja naye anaweza kumiliki funguo za nyumba yenu? Maana ndivyo ulivo maanaisha ...mleta uzi anasema jinsi ya kumiliki slaha za nukes Kim hajuw kama wanavyo ztunza US,Russia,UK etc lini uliwah sikia Europe Germany analalama kwa jili ya missile test za UK? Basi kama ni hivyo kim hapaswi kumiliki sababu hawezi kujicontrol...what if kesho mkitibuana na Malawi kisa ziwa nyasa Kim si atamuuzia mgabe Nukes kwa bei rahisi na akabomb TZ...mkuu usizan UN wanakaa mule ndani kuipinga Pyongyang umewazidi akili hamna yani UN wanawaza upright ila wew na Kim mnawaza upside-down in -ve way...Juzi tu kamtishia Australia, mara Israel je huyu mtu anaakili... Mbona Irani anazo but hana Ukichaa kama wa Pyongyang?
 
Korea ya Kaskazini Imepitiliza sasa kwa ukaidi sidhani kama kuna mpenda Amani yoyote atayafurahia yanayofanywa na nchi hii.

kwanini amekua kinganganizi sana katika suala hili la kutengeneza silaha za nyuklia kama amepigwa marufuku kutengeneza na bado akatengeneza hata kuziuza kwa mataifa mengine anaweza pia.

Hizi ni kati ya silaha hatari duniani na zenye uharibifu mkubwa sana anzia kwa uhai wa viumbe hai mpaka mazingira.

Ni Muhimu sana kuhakikisha Korea Kaskazini anadhibitiwa kutengeneza silaha hizi kwa njia rahisi tu ya kidiplomasia.
Level yako imeishia kwenye kupasua matofalii na vichwa uku kwa N.K hutaelewa kituu..... Busara ungeitumia wewe kuchunguza kwa undani kabla ya kuleta mada yako uchwara uku
 
Kwa ubongo wako teja naye anaweza kumiliki funguo za nyumba yenu? Maana ndivyo ulivo maanaisha ...mleta uzi anasema jinsi ya kumiliki slaha za nukes Kim hajuw kama wanavyo ztunza US,Russia,UK etc lini uliwah sikia Europe Germany analalama kwa jili ya missile test za UK? Basi kama ni hivyo kim hapaswi kumiliki sababu hawezi kujicontrol...what if kesho mkitibuana na Malawi kisa ziwa nyasa Kim si atamuuzia mgabe Nukes kwa bei rahisi na akabomb TZ..
Usiwe unakurupuka juzi hukusikia waziri wa ulinzi wa jamhuri ya kiislam ya Iran kutishia kuisa mbaratisha Saud Arabia?

Kama LIBYA angekuwa na jeshi imara na angekuwa na uwezo wa kumiliki nuclear bomb yasinge mkuta yaliyo mkuta Muammar Mohammed Abu Minyar Al-Gaddaf....

Huwezi kuwa powerfull country kama huna jeshi imara na zana za kisasa za kivita kama nuke... Iran kama asingekuwa na nuke ungeikuta kama ipo kama Syria... Marekani asingewaacha...

N.Korea ukimzingua lazma akusa mbaratishe
 
Hakuna kitu kama hicho pitia vzur madesa yako ujue kama iran anfanya nin saiv alishawekewa mikataba la sivyo Wa Zionists wangeshafanya yao ...Hata kama unamahaba na NK usiwe unajitutumua kuongea kama mtoto mkuu NK kwa wenye akili haruhusiwi kumiliki Nukes.
 
Wandugu hawa Jamaa wanafanya haya kwa sababu wamepewa vikwazo vya kiuchumi, ni story ndefu turisha liongelea humu,issue ilianzia kuzalisha umeme kwa nuclear na ikaendelea NK kurutubisha miozi sasa kurutubisha miozi hawa wakubwa hawataki kwa sababu ukiyarutubisha zaidi ndio miozi hatari ya nuclear ya kuangamiza kizazi hadi vizazi kama hutasimamia vizuri isiingie kwa magaidi,Mfano kwa Tanzania tunayo hayo madini ya Uranium yapo kusini Kule na tukanunua kinu kutoka Urusi tukarutubisha hayo madini tukapata miozi ya kuzalisha umeme,kwanza bei tutalipa hata sh.10 kwa Unit,pili tutazalisha umeme mwingi na tutauza nje ya nchi tatu viwanda vitapata unafuu kuzalisha bidhaa,hasara ni pale inapotekea janga kama Japan vinu vingi vilitawanya sumu,tukitaka tuwe kama NK tuanzishe hayo mambo bila ruhusa ya wakubwa wa dunia.
 
Hakuna kitu kama hicho pitia vzur madesa yako ujue kama iran anfanya nin saiv alishawekewa mikataba la sivyo Wa Zionists wangeshafanya yao ...Hata kama unamahaba na NK usiwe unajitutumua kuongea kama mtoto mkuu NK kwa wenye akili haruhusiwi kumiliki Nukes.
North korea ni hatari sana kuwaruhusu wamiliki nuclear
 
NORTH KOREA hapangiwi kama sisi Dependants wa western countries, so wamuache atengeneze mwenyyw anazitengeneza kwa kujihami na hajamchokoza MTU kamwe sasa hawa wanaojifanya ndio wababe wa dunia mbona wao wanazo au kosa LA mkorea ni kujitangaza hadharani
 
Korea ya Kaskazini Imepitiliza sasa kwa ukaidi sidhani kama kuna mpenda Amani yoyote atayafurahia yanayofanywa na nchi hii.

kwanini amekua kinganganizi sana katika suala hili la kutengeneza silaha za nyuklia kama amepigwa marufuku kutengeneza na bado akatengeneza hata kuziuza kwa mataifa mengine anaweza pia.

Hizi ni kati ya silaha hatari duniani na zenye uharibifu mkubwa sana anzia kwa uhai wa viumbe hai mpaka mazingira.

Ni Muhimu sana kuhakikisha Korea Kaskazini anadhibitiwa kutengeneza silaha hizi kwa njia rahisi tu ya kidiplomasia.
Kama hujui historia ya Dunia, basi hujui siasa ya dunia, huvyo kuja na uzi kama huu ni wazi mtoa mada hujui siasa za Dunia. Korea kaskazin ni sovereign hivyo ina uhuru wa kujilinda kwa kuunda nyuklia, lakin faham kua kila anaemtia hofu marekani juu ya silaha za nyuklia basi marekan itamfanya au itaifanya nchu hiyo iwe adui wa dunua kwa propaganda zote. Kama ungekua unaelewa zaidi ungetamani hata sisi tz tuwe na nguvu za kinyuklia.

Au km ni marufuku nyuklia basi iwe kwa nchi zote.

Unatakiwa pia ujue hata mikataba ya kimataifa ya nyuklia pia ipo biased, ina wanufaisha wachache ambao wanataka kua miungu ya dunia. Hivyo korea, iran na wengine watengeneze tu. Ili kuwe na kitu kinaitwa Balance of power.

Mtoa uzi, km jiran yako ambae ni hasimu wako ana SMG halafu wewe una mshale. Utakua unafikiria nini ktk maisha yako km si kutafuta SMG au silaha zaidi ya hiyo? Hiyo ndio human nature.
 
Uzi huu unahitaji tafakari sana. Kuwa nchi huru ni jambo moja lakini kuwa na busara ni jambo lingine. Mtu anayependa kuchokoza mambo kwa lazima hafai kumiliki nyuklia.
Ni mara ngapi amerika imelazimisha vita. Eg iraq, syria, vp wanastahili kua na nyuklia?
 
Huo ni mkataba ni sawa na leo uniambie Kila taifa lianze kumiliki Biological weapons kinachofanyika ni kuzuia hizi silaha kusambaa leo Korea kaskazini kesho akatengeneza Yemen zikaanza kusambaa ovyo vikundi vya kigaidi wakazipata unategemea nini

ushawahi Msikia Marekani anatoa vitisho kushambulia na Nyuklia?
Ndio maana hataki wengine wawe nazo ili aendelee kuinyanyasa dunia na awe Mungu wa dunia kama ilivyo sasa hakuna namna. Bora tufe kuliko kutawaliwa
 
tatizo sio kupinga elewa zile ni silaha za mass destruction hivi leo North Korea akatengeneza na kesho akatengeneza syria na keshokutwa kuwait unategemea nini
Wangeanza kuacha kutengeneza.US,ISRAEL
 
Huyu pumbufaa anayesema ushawahi kuona USA kashambuliaa na nuclear he is totally fool and nullified organism vita ya vietnam km hujui alitumiaa nuclear sn kwan ilishamsndaa na ushahidi upo. Japan alifanyajee shda enu shule mliona km mzgo leo mnatusumbua kuwa walim wa vilaza NORTH KOREA n communist nation n adui wa marekan marekan anataka awe baba wa mataifa yote dunian hii haikubalik ndo mana mnaaza kuowana wanaume kwa wanaume ndo sera za democratic westerners MUNGU IBARIK NORTH KOREA
 
Huna haja ya kumtukana mtu. Weye mpe unachoamini kwa mifano. Jazba itakuanika juu ya bati na kuna jua kali!
 
Ni mara ngapi amerika imelazimisha vita. Eg iraq, syria, vp wanastahili kua na nyuklia?
Look here, boss! Siyo kulazimisha vita. Kuna watu /nchi zinatakiwa kufundishwa adabu. Kuwa nchi huru maana yake siyo kufanya lolote hata la hovyohovyo. Ni nani aliyemtishia "kiduku" hadi aanze kujaribisha missiles zake kama siyo uwendawazimu?
 
Korea ya Kaskazini Imepitiliza sasa kwa ukaidi sidhani kama kuna mpenda Amani yoyote atayafurahia yanayofanywa na nchi hii.

kwanini amekua kinganganizi sana katika suala hili la kutengeneza silaha za nyuklia kama amepigwa marufuku kutengeneza na bado akatengeneza hata kuziuza kwa mataifa mengine anaweza pia.

Hizi ni kati ya silaha hatari duniani na zenye uharibifu mkubwa sana anzia kwa uhai wa viumbe hai mpaka mazingira.

Ni Muhimu sana kuhakikisha Korea Kaskazini anadhibitiwa kutengeneza silaha hizi kwa njia rahisi tu ya kidiplomasia.
Mtoa post usipende kufikiri kwa akili za kuazima: Tumia akili na utashi wako kuhoji kwa mfano ni kwa nini kuna mataifa yanayojipa mamlaka ya kuhodhi utengenezaji na umiliki wa silaha za nyuklia duniani, huku mataifa mengine pinzani yananyimwa haki hizo?

Iweje Korea ya Kusini iruhusiwe kuwa na silaha hizo, tena kwa kusaidiwa na mataifa ya magharibu, lakini kwa Korea Kaskazini iwe dhambi? Tafakari kwa kina mustakabali huo katika siasa za kimataifa kabla ya kuanza kuyaonyeshea kidole mataifa ambayo kwa maksudi yamekuwa yakididimizwa na kunyimwa haki za kujilinda, kujijenga na kujiendeleza kiuchumi.
 
Suluhisho LA uhakika ni dunia kukubali kuwa korea kaskazini ni Taifa lenye nyuklia na liheshimike hivyo bila vikwazo vyovyote kama ilivyo Israel, India, Pakistan nk!
wanasambaza democracia kama walivyofanya Iraq,Libya very democratic now
 
Back
Top Bottom