sherif john brown
Member
- Nov 5, 2015
- 66
- 22
Zote hizi, hazipo kisheria chini ya sir god, ni ibada za sanamu, soma kutoka 20:1-5
Hakuna Shida mkuu,uko wapi kwani???,km upo Serious ni PM,tuanze kazi.Mkuu nifundishe kusali rozari
Hiyo ni kwa mujibu wa Halmashauri kuu ya Kichwa chako.ona hivi ni god au God,halafu sir god ndo nani??,hebu tuanzie hapo kwanza maana unaweza kujifanya Much know kumbe Mburura tu.Zote hizi, hazipo kisheria chini ya sir god, ni ibada za sanamu, soma kutoka 20:1-5
Tass beads
Tasbihi = Hirizi
Hakuna Shida mkuu,uko wapi kwani???,km upo Serious ni PM,tuanze kazi.
UMESHASEMA NI UCHAWI HAPO CHINI KWENYE MANENO YAKO NDIYO MAANA AMEKIMBIAMjuvi mwenzangu FaizaFoxy Nataka nijue tofauti yake na si similarities
HAPO JUUNaona zote ni sawa. Mwenye kujua tofauti zake anijulishe. Uchawi wa Kirumi, Uchawi wa Kiarabu na Uchawi wa Kiafrika.
mshana jr mzee wa chanting karibu sana..
Tasbihi haina kazi nyingine yoyote isipokua hesabu, yani kumsaidia anaemsabih/kumtaja Mungu/Allah awe na kumbukumbu ya malengo ya idadi ya utajo anaohitaji. Laki lozari inanasibishwa na ulinzi au kumkubali yesu kama muokozi wa alieivaa au kuitumia, ndio maana utaona mtu anashika lozari kukemea jambo baya lishindwe, pia hirizi hutumika kama ulinzi kwa dhidi ya uadui ambao mshirikina anaamini kua kua na hirizi km kinga ya uadui atakaofanyiwa, au nguvu za hirizi hiyo kumuwezesha kufanya jambo fulani. Hivyo hirizi na lozari vinatumika km ulinzi, ama lozari ni kama kukubali kua yesu alisulubiwa kwaajili ya dhambi ya wale wanaoamini ktk kristo. Na tasbih ni kwaajili ya hesabu tu.Naona zote ni sawa. Mwenye kujua tofauti zake anijulishe. Uchawi wa Kirumi, Uchawi wa Kiarabu na Uchawi wa Kiafrika.
mshana jr mzee wa chanting karibu sana..
Mkuu Hakuna Amani Kama Haki Hamna Kwenye Nchi. Tuache Kuomba Kwa Mazoea Turudi Kwenye Msingi wa Neno la Mungu. Haki Uzaa Amani. Tena Nawaomba Viongozi wa Dini warudi Kwa Mungu Kwa Toba.
Wameacha Kusema ukweli wanasema Yale yanayo wapendeza viongozi hawasimami Kwenye ukweli. leo unaita matamasha na makongamano ya kuombea taifa Amani? Alafu unawaalika viongozi wa serikali ili kuwafuraisha wao na sio Mungu. Maana hawa hawa waondio wavunjaji wa haki.
Sikatai viongozi wa serikali wasiitwe lahasha, lakini waje na Muwambie ukweli kwamba Amani ni Zao la Haki. Watende haki Amani aiombwi jamani, sulemani anasema kwenye kitabu cha Mithali, Haki uinua Taifa, tuombee Taifa Haki jamani.
shetani available for saleshetani wewe nenda zako
Huo wote ni udanganyifu wa Shetani. He is very smart.Vitu hivyo ni sawa.It is part of the grand illusion. Wajinga ndio waliwao.Ngoja niishie hapo nisije nikanyooshewa kidole.Naona zote ni sawa. Mwenye kujua tofauti zake anijulishe. Uchawi wa Kirumi, Uchawi wa Kiarabu na Uchawi wa Kiafrika.
mshana jr mzee wa chanting karibu sana..
Naona zote ni sawa. Mwenye kujua tofauti zake anijulishe. Uchawi wa Kirumi, Uchawi wa Kiarabu na Uchawi wa Kiafrika.
mshana jr mzee wa chanting karibu sana..