ZIMBABWE: Mchungaji aliwa na Mamba Watatu akijaribu kutembea juu ya maji kama Yesu

ZIMBABWE: Mchungaji aliwa na Mamba Watatu akijaribu kutembea juu ya maji kama Yesu

Akajieleze mbele za Mungu wake...!

kwanin alitaka kujifananisha na JESUS?

Kwanini ameamua kujiua kifala?
 
Cjui kwann hawa jamaa wanakua mafala namna hii mi nahisi kuna kitu wanakishwa hawa waumini ktk hali ya kawaida haiwezekani jamani tuache ushabiki wa kiimani mifano michache tu Kibwetere aliwachoma moto,kuna mmoja aliwekewa spika na mchungaji kukaa juu yke akafa,mwengine nae ikawa anatembea juu ya vichwa vya waumini wke mara walale chini awapitie migongoni yaani tabu tupu wachungaji wamekuwa km miungu wanafanya wanachojiskia na hawapingwi kuna mmoja juzi tu hbr ililetwa jf hmu alikuwa anawatafuna wake za watu kwa kisingizio cha roho mtakatifu kumshukia wamekuja shtuka tyr washatafunwa wa kutosha saaaaaana imefika hatua ndoa za watu zinavunjika kisa hawa wachungaji mwanamke anapna mchungaji ni zaidi ya mumewe na wazazi wke anamfanya km mungu wke mume hana tena nafasi kila aambiwacho na mchungaji anakubali tu kwann asimle jicho?
 
kiki za hamorappa. atakuwa nduguye huyu
 
h
5307192_screenshot20170513115950_jpeg7bee88bde4ad7b8ff445c21220b6f906

Mchungaji wa kijiji kimoja huko zimbabwe Pastor Jonathan Mthethwa ametafunwa vizuri na mamba watatu alipokuwa akijitutumua kutembea juu ya maji Kama yesu katika mto MPUMALANGA au kwa jina maarufu MTO MAMBA kutokana na wingi wa mamba katika mto huo.

Alikuwa anafanya majaribio ya imani(DEMO) aliyowafundisha waumini wake kanisani. Shemasi aliyehojiwa anashangaa kwa nini aliliwa maana kabla alifunga na kuomba wiki nzima!

Mashuhuda wanasema alitembea ndani ya maji kama mita 30, alipotaka kuanza kupanda ili aanze kutembea juu ya uso wa maji ndipo yalitokea mamamba makubwa matatu na kumtafuta na kumkatata vipande huku mwili wote ukiishia kwenye matumbo ya watafunaji hao.

My take: Waumini muwe makini na wachungaji wenu. Leo kaenda yeye kesho anaweza kuibuka mwingine TZ akawaambia kanisa zima litembee juu ya mto ruvu ile sehemu yenye mamba na viboko wengi kama mazoezi ya Imani. Au kama mafunzo ya vitendo baada ya kufundishwa Theory/Nadharia za kiimani kanisani.

Imani na Akili lazima ziende sanjari na Vyote viwe mubashara Muda wote ukikoswa kimoja utaishia kuliwa kama sio wewe basi pesa zako.

[HASHTAG]#Zimbabwe[/HASHTAG] Pastor trying to walk on water at the Crocodile River gets eaten by 3 crocodiles - Zimbabwe Today
huyo alikuwa na vyeti feki vya upasta
 
Tatizo kubwa linalowakuata viongozi hawa wa dini ni kutaka wafanane na mitume au watu wema wa zamani ambao kimsingi Mungu alishawatofautisha sababu imani yao haikua na chembe ya shaka na imani hiyo ilitokana na kufunuliwa nguvu na uwezo wa Mungu. Sasa sisi wachafu, tunakula sadaka kwa njia ya haram, tunazini, tunadhulumu, hatuna uadilifu na pengine si chaguo la Mungu kua viongozi wa dini bali tumefosi kwa utashi wetu na kwa maslah yetu. Kisha unataka kujaribu muujiza wa Mungu. Jamani kina yesu, kina Musa, kiba Muhammad, kina Abraham waliochomwa moto na hawakuungua. Hawa walikua binadam sawa lakin Mungu aliwapa kitu cha ziada kwa mapenzi yake so tusijifananishe nao wala kujaribu, turidhike na iman tuliyonayo itatufikisha mbinguni sababu tumeipta kwa kuhadithiwa lakn wapo waliokuwepo wakt miujiza inafanyika na walipinga.
 
Tukizungumzia humu masuala ya imani potofu kuna watu wanakuja juu eti waachwe na imani zao. Sasa kwa mwendo hui tukinyamaza si wataendelea kuangamizwa na hao wachungaji feki?
 
Huwezi kuwa na imani ya kweli mpaka ujaribiwe, mchungaji kapewa mtihani, hakika amefaulu kafa katika jihad.
 
5307192_screenshot20170513115950_jpeg7bee88bde4ad7b8ff445c21220b6f906

Mchungaji wa kijiji kimoja huko zimbabwe Pastor Jonathan Mthethwa ametafunwa vizuri na mamba watatu alipokuwa akijitutumua kutembea juu ya maji Kama yesu katika mto MPUMALANGA au kwa jina maarufu MTO MAMBA kutokana na wingi wa mamba katika mto huo.

Alikuwa anafanya majaribio ya imani(DEMO) aliyowafundisha waumini wake kanisani. Shemasi aliyehojiwa anashangaa kwa nini aliliwa maana kabla alifunga na kuomba wiki nzima!

Mashuhuda wanasema alitembea ndani ya maji kama mita 30, alipotaka kuanza kupanda ili aanze kutembea juu ya uso wa maji ndipo yalitokea mamamba makubwa matatu na kumtafuta na kumkatata vipande huku mwili wote ukiishia kwenye matumbo ya watafunaji hao.

My take: Waumini muwe makini na wachungaji wenu. Leo kaenda yeye kesho anaweza kuibuka mwingine TZ akawaambia kanisa zima litembee juu ya mto ruvu ile sehemu yenye mamba na viboko wengi kama mazoezi ya Imani. Au kama mafunzo ya vitendo baada ya kufundishwa Theory/Nadharia za kiimani kanisani.

Imani na Akili lazima ziende sanjari na Vyote viwe mubashara Muda wote ukikoswa kimoja utaishia kuliwa kama sio wewe basi pesa zako.

[HASHTAG]#Zimbabwe[/HASHTAG] Pastor trying to walk on water at the Crocodile River gets eaten by 3 crocodiles - Zimbabwe Today
Naamini wale wa kanisa la misukule wanaweza kutembea juu ya mto wenye mamba kutokana na imani ya askofu wao muuza sembe
 
Back
Top Bottom