Recent content by B51

  1. B51

    Tetesi: Alikuwa kipenzi cha wadada, leo hii hawatamani hata kumuona

    Wamlete bongo tumpeleke alipoponea Chidy Benz
  2. B51

    Je, Russia hana ubavu kama Iran?

    Swala sio mda ni kukamilisha malengo.. hata wakipigiana miaka 10 wao sio ishu.. wanachotaka ni kuichukua Ukraine yote iwe Urusi
  3. B51

    Tetesi: Mvutano wafukuta kati ya JK na YM nani aanze urais kati ya RK na JM

    Kwahiyo wanagawana tu inchi yetu. Wanarithishana...
  4. B51

    Ni ipi njia nzuri ya kuishi na mwanamke anayeonesha dalili zakutaka kumtawala mwanaume wake?

    Mzalishe fasta fasta kama watoto wa4 hivi then atatulia.
  5. B51

    Mwisho Mwampamba: Vyombo vya habari viliniandika kwa uongo, hakuna pesa yoyote niliyoshinda kwahio sio kweli eti nilifirisika

    Lkn kiingereza si bado anaweza kuongea!? Mi nadhani hiyo inatosha
  6. B51

    Biden ni dhaifu sana, kina Obama wanakwambia usigombee mwachie Kamala na wewe unakubali?

    Kuna kitu hata mm natamani kujua.. Wanasema USA ina mfumo imara kiasi kwamba hata taahira anaweza kuwa rais kutokana na mfumo wa uongozi uliopo. So inakuaje afya ya Biden imekuwa tatizo kwasababu haendeshi nchi Kwa matakwa yake Bali ni mfumo uliowekwa. Kila kitu kipo kwenye utaratibu maalum
  7. B51

    Mungu aliona wapi mfano wa ulimwengu ndiyo akauumba hivi?

    Level za Mungu ni kubwa sana bwana mdogo. Deal kwanza na level za walimwengu, hao wanaochora ramani za hizo nyumba, magari nk wanapata wapi hayo mawazo? Au nao lazima wawe wameiga sehemu!? Nadhani utakubaliana na mimi kuwa ni ubunigu right! Sasa huyo aiyebuni ramani na akiamua kujenga kitu...
  8. B51

    Matukio ya Ushoga duniani

    Wamefanikiwa kupata mtoto mmoja..
  9. B51

    Mama mkwe anamhimiza mke wangu anichune; naomba ushauri

    Kwanza usiongee nae, yaani usimwambie kuwa umeshtukia uhaini wao. Then jivue kwenye ndoa kihisia yaani fanya Kama unaishi na house girl tu. Mpe huduma zake za msingi, chakula mavazi, makazi, matibabu na tendo la ndoa. Acha kuendelea kupanga naye chochote kuhusu kesho yenu, akija na Wazo...
  10. B51

    Tendo la ndoa chanzo cha kuua ndoa nyingi

    Nafuatilia comments zenu wadau msiniangushe.
  11. B51

    Sheria ya Mirathi ya Kiislamu kwa mtoto wa nje ya ndoa ibadilishwe

    Kwakuongeze: Je tunapaswa kusubiri mda gani baada ya kumzika baba ili kuwasubiri watoto wa nje ya ndoa? Maana Yeye ndie anawajua na alipokuwa akiwatengeneza alikuwa peke yake na haijulikani alizaa na wanawake wangapi!
  12. B51

    Rais wa WBC, Mauricio Suleiman ataka uwepo wa V.A.R na majaji watano kwenye pambano kati ya Oleksandr Usyk na Tyson Fury

    Hivi Huyu heavyweight Tyson fury ameshindwa kuyaondoa yale manyama tumboni na kiunoni? Heavyweight ana minyama ya hovyo kabisa.
Back
Top Bottom