Asili ya majina Mikocheni, Masaki na Kariakoo

Asili ya majina Mikocheni, Masaki na Kariakoo

Wamakonde dar ndiyo watu waliyokuwa wameyashika maeneo"prime areas "ila sehemu nyingi walihamishwa hawakuwa na mahesabu ya mbali 😄

Ova
Wamashomvi, wafanyabiashara wa jamii ya wazaramo, wadoe na wakwere ndio walikuwa na maeneo mengi hayo "prime" kwa wakati huo yakiwa ni mashamba ya minazi na mikorosho ila walihamishwa na kuhama baada ya Mjerumani kuanza kujenga miundombinu km hospital, shule, barabara nk
"Vingunguti" ni vitu gani?
ni aina ya nyumba za kienyeji gungu/tembe zikifanana na au aina ya vichuguu vya mchwa ‘ngunguti”

Sinza - kusinza/kuzunguka eneo lenye mifereji au mikondo ya maji. Huko kulikuwa na mashamba mji ukiishia Magomeni
Afrikasana. - duka la nguo/vifaa vya kitamaduni likiitwa hivyo
Kumekucha - mnadani kumekucha auction mart, mnada maarufu wa vitu used, Mori Bar, Palestina Hospital
Kwa Remmy - Remmy Ongala
Msasani Namanga - eneo la maduka yalifananishwa na mpakani na Kenya kipindi cha uhaba wa vitu miaka ya 80 watu waliagizia huko dawa za meno, sabuni nk
 
Pamoja sana mkuu

Ova
 
Hapo goba Centre sahv,zamani palikuwa panaitwa muembe madole kulikuwa na landrover moja ndiyo usafiri wa kuwatoa watu huko kuwaleta mjini
Watu wametoka mbali sana
Au miaka ya zamani bus likitoka mjini linaishia kinondoni mjini hapo watu wanashushwa sasa anayeenda kwa miguu kama sinza,mwenge na kwengineko ni kwa mguu

Dah tumetoka mbali sana. Nikicheki viwanja bei yake ni hatari.

Hivi ukichukua kiwanja mitamba(Kibaha) si ni uwekezaji mzuri? Nimeona wameviweka kwenye TAUSI Portal
 
Dah tumetoka mbali sana. Nikicheki viwanja bei yake ni hatari.

Hivi ukichukua kiwanja mitamba(Kibaha) si ni uwekezaji mzuri? Nimeona wameviweka kwenye TAUSI Portal
Wakati jumuiya ya afrika mashariki inavunjwa
Wafanyakazi walipewa ofa na serikali maeneo ya sinza na mwenge..dingi yangu mmoja akasema mbona huko porini 😄
Badaye ona sasa kulivyokuwa

Ah kabisa kama kuna fursa ya kupata eneo we lichukue tu

Poa poa
 
Mtu akipatazama sasa hivi na bei za maeneo lazima ajilaumu. Ila hakuna namna.
Mzee wangu alikuwa na shamba kubwa goba apauzaga kitambo lakini,swagiba wake mkubwa alikuwa p.bomani naye alikuwa na shamba kubwa na aliweka mpaka bwawa la samaki kuvua na mifugo tulikuwa tukienda ukirudi unakuja na mihogo,machungwa nk
Sahv goba mjiii ,sema sjapenda watu hawajajenga kimtaa mtaa

Ova
 
Hapo goba Centre sahv,zamani palikuwa panaitwa muembe madole kulikuwa na landrover moja ndiyo usafiri wa kuwatoa watu huko kuwaleta mjini
Watu wametoka mbali sana
Au miaka ya zamani bus likitoka mjini linaishia kinondoni mjini hapo watu wanashushwa sasa anayeenda kwa miguu kama sinza,mwenge na kwengineko ni kwa mguu

Ova
Kawawa ndio alieanzisha hiyo njia ya Goba akitokea nyumbani kwake Madale kupitia Mbezi Luis
IMG_6875.JPG
 
Dah tumetoka mbali sana. Nikicheki viwanja bei yake ni hatari.

Hivi ukichukua kiwanja mitamba(Kibaha) si ni uwekezaji mzuri? Nimeona wameviweka kwenye TAUSI Portal
Miji inakuwa , maeneo yote mapya ya Dar na Pwani yana thamani , waliodarau maeneo kama Ununio, Mbweni, Mbezi hata SInza na Mikocheni miaka ya zamani wanajutia
Kumbe aliishi huko
Ana mji kabisa panaitwa Madale kwa Kawawa, enzi hizo ni porini tu na yeye alipapenda alikuwa mwindaji mzuri na huko wanyama walikuwa wanatokea msitu wa Mabwepande
 
Asili ya maeneo ya Dar
Mzizima, sehemu ya uzima ya wenyeji wazaramo na wakwere
Kawe ni Cow Way, njia ya kupitisha ngombe kupeleka kiwandani Tangayika Packers
Lugalo mkoloni alipaita Colito baracks baadae ikapewa jina la ngome ya Mkwawa, Lugalo
Kariakoo ni Carrier Corps, kikosi cha wapagazi wa wazungu
Mikocheni - eneo lenye mikoche, aina ya miti
Magomeni - eneo lenye miti yenye magome kwa wingi hasa yaliyotupwa Tanga, Zbar na Mombasa pia lipo, mapipa na makuti yaliezekewa maeneo hayo,
Tabata dampo kulikuwa na sehemu ya kutupa takataka (dump) za Dar kabla halijahamishiwa Pugu, hilo eneo ni landfill ilotokana na taka zote za Dar tangu mkoloni
Msasani ni mti wa msasa au mufuti
Bunju, samaki anaitwa hivyo
Mwananyamala - mwana nyamaza , kulikuwa na mashamba ya mpunga na usiku panatisha sana
Fire - kikosi cha zimamoto, Fire Brigade enzi za mkoloni
Mnazi mmoja - ulikuwepo hapo
Masaki - paliitwa kichangachui zamani lakini pia kuna eneo linaitwa Masaki lipo uzaramoni, asili yake neno saki
Oysterbay - walivua oysters maeneo hayo
Forodhani - bandari panaitwa forodha
Mchafukoge - eneo lenye mafuriko , low lying areas, linaiingiza uchafu sana
Bagamoyo, bwaga moyo - watumwa ilibidi wabwage moyo watulie kabla ya kupanda meli, Senegal kuna door of no return, Ile de Goree
Gerezani kulikuwa na gereza pale ofisi za dawasco zamani na mwembe wa kunyongea pia, mjerumani alitumia wafungwa kujenga reli na kupakia mizigo, baadae likahamishiwa Keko
Chang’ombe lilitumika kutunzia ng’ombe kabla ya kusafirishwa au kuchinnjwa kama ilivyo Dodoma, Mbeya na Morogoro
Goba - eneo lenye rutuba, kizaramo, zamani yalikuwa mashamba
Manzese, aina ya miti ya asili, Nzese kulikuwa na pori la miti hiyo
Ubungo, aina ya miti yenye matunda ya mabungo, kwenye ule mto unatokezea kwa mtogole
Kigamboni- ka sehemu kadogo, kigambo au peninsula
Shekilango alikuwa Waziri enzi za Nyerere
Maeneo mengi yana asili ya
 
Miji inakuwa , maeneo yote mapya ya Dar na Pwani yana thamani , waliodarau maeneo kama Ununio, Mbweni, Mbezi hata SInza na Mikocheni miaka ya zamani wanajutia

Ana mji kabisa panaitwa Madale kwa Kawawa, enzi hizo ni porini tu na yeye alipapenda alikuwa mwindaji mzuri na huko wanyama walikuwa wanatokea msitu wa Mabwepande
Sasa mikocheni miaka ya nyuma si kulikuwa mabwawa tu ya samaki utotoni tulikuwa tunavua kuna maeneo mengine watu walikuwa wanachimba chumvi tu

Ova
 
Mikocheni asili yake ni miti ya mikoche. Mikocheni maana yake mahali penye mikoche. Mikoche yenyewe ni miti iliyo kama miwese/minazi. Miti hii inapatikana pwani ya Afrika Mashariki hadi huko South Afrika. Pia inazaa matunda yaliwaywo.
View attachment 3309803

Matunda yake.
View attachment 3309806

Masaki limetokana na neno la Kizaramo Saki. Saki maana yake ni eneo wanakougulia watu/wagonjwa. Masaki ni wingi wa saki.

==========================

Jina Kariakoo lilianza tokea enzi kabla ya mjerumani, kijiji hiki kiliitwa "Carrier Corps." Hii sehemu ilipata umaarufu sana kwa sababu ilikuwa frequently raided by slave masters kuja kuchukua watumwa. Kwa mantiki hii, jina halisi ni Carrier Corps ila wenyeji walitamka walivyoweza, hence, Kariakoo.
Tabata ilitokana na Muarabu aliyekuwa na duka maeneo ya Tabata relini ambaye kila aliyekuwa akifika dukani kwake akiuliza bidhaa yoyote anajibiwa TABATA kwa maana ya utapata, mwanzoni paliitwa kwa Mwarabu Tabata kama joke ila ndiyo likashika mizizi.
 
Aise

Ova
 
Sasa mikocheni miaka ya nyuma si kulikuwa mabwawa tu ya samaki utotoni tulikuwa tunavua kuna maeneo mengine watu walikuwa wanachimba chumvi tu

Ova
Aisee
Usinikumbushe hayo maeneo, nimecheza sana kwenye hayo majaruba ya chumvi na Musa Tatu Ntimizi, leo hii ni apartments, sijui mdingi alikuwa amelala, sema nilikuwa niko msingi akili haipo kabisa kumtonya mdingi....
 
Mandazi Road Photo Project​

May 22, 2014
As part of my MA program, we were asked to write a piece about our current project. The following shares a little background to the area that I'm photographing and I reveal some of the struggles I'm having as well. Overall, I'm pretty happy with the project, but the damn rain just won't stop and it's become impossible to show a progression which was my initial plan. Therefor I've focused more on the people within the community which has been very rewarding because this kind of photography was always a challenge that I wanted to take on. By diving in, I've been able to make better connections and get more honest photographs. Here is the story so far...
Mandazi Road is a bustling 850 meter path through a low income community in northern Dar es Salaam. This mostly pedestrian road has been identified by Tanzanian National Roads Agency (TANROADS) on their list of roads to pave, with the intention of alleviating a growing traffic problem. Mandazi Road connects two middle class neighbourhoods in the northern part of this coastal city and the 'short cut' can save commuters up to two hours of sitting in traffic.
1756756859783.png

The goal of this project is to share the potentially dramatic changes coming to this community. It is an important story because this road project, dividing the community symbolizes the economic boom taking place in many African countries where resources (oil, natural gas, minerals) are attracting wealthy donor countries.
While there is an obvious correlation between a country's resources and donor support for infrastruction there is often a problem with how the money is spent. Projects are often reactionary rather than well planned. In the case of Dar es Salaam, the BBC listed the city as one of the fastest growing in the world (Boyle, 2012) yet the government had little planning in place for the growing middle class who started buying cars. The result has been a rapidly growing traffic nightmare for commuters and the city is struggling to build through ways to alleviate the congestion on the main roads. This has also inspired the city to build a rapid transit system, however, this is not scheduled for completion until 2017 and until then small fixes like paving Mandazi road will have to suffice.
This road project will temporarily solve a problem for commuters yet what will it mean for the local inhabitants and shop owners?
After speaking with many people on Mandazi road, I was surprised to find that there is a fairly even balance of those for the change and those against it. Many look forward to the influx of buyers for their shops and the promise of improved side streets, a drainage system and electricity. Others fear traffic, increased cost of living, evictions for higher paying renters, demolition of illegally built houses. Either way a major change is coming.
1756756975364.png

My photography project started out smoothly with several walks through the area as I shyly kept my camera stashed in my bag. Initially, I would take the camera out, make a few pictures and move on. With each photo, people would jeer me and make comments like, “you need to pay me for taking a picture of this road” and, “who are you working for?”
With a good understanding of Swahili and a sense of humor, I am usually able to explain what a white guy is walking around with a DSLR in this part of town. It took a while to get comfortable with walking around with my hefty Nikon but with time I actually found it easier to keep the camera out, in my hand, as I walked. This resulted in many more questions and jeers which resulted in many more discussions and ultimately lead to more personal and unrushed photos.

1756757012553.png

The project was going smoothly and it looked like I would be able to time it perfectly with my assignment deadline for this course... And then the rains came. This year has been the worst rainy season in 10 years with severe flooding in most coastal regions of Tanzania including many deaths in Dar es Salaam (Mwakyusa, 2014). The flooding has forced TANROADS to halt all work until further notice. Many say they will need to wait at least one month after the rainy season ends in order to let the water fully absorb and run off.

1756757054875.png

What does this mean for my photography project? While it is a challenge to show any physical change to the area, I will continue to work on developing the human side of the story by capturing individuals who will be affected. After all the personal story is the core of this project, which is simply an analogy for the larger picture of development.
During the time of writing, the National Weather Service puts out an extreme weather warning (Chikoma, 2014) for the weekend so it is unlikely that any work will be done anytime soon.
______________________________________________________________
Boyle, J. (2012). Dar es Salaam: Africa's next megacity?. Available: Dar es Salaam: Africa's next megacity?. Last accessed 21st May 2014.
Mwakyusa, A. (2012). Tanzania: More Than 40 Feared Dead After Dar Floods. Available: Over 40 Feared Dead in Tanzania Floods. Last accessed 21st May 2014.
Chikoma, F. fchikoma@istafrica.com. Warning of strong winds and large waves along the entire coast, from 19 to 21 May 2014. 20 May 2014.
 
Aisee
Usinikumbushe hayo maeneo, nimecheza sana kwenye hayo majaruba ya chumvi na Musa Tatu Ntimizi, leo hii ni apartments, sijui mdingi alikuwa amelala, sema nilikuwa niko msingi akili haipo kabisa kumtonya mdingi....
Kuna wahindi (wakina nani)baba zao walikuwa wanamiliki na mpk sasa wanamiliki kuanzia ile kona ya tanesco,sahv pamewekwa yard kwenda mpk the wheel mpaka ule uwanja wa michezo,sjuu zile frame za GSM
Eneo lote lao,zamani palikuwa mabwawa na walikuwa na mradi wa kuchimba chumvi
Zile nyumba sahv wanazo kaa polisi zamani sana enzi za nyerere alijenga mdosi mmj smbdy akbr
Ila alikula kona mambo uhujumu uchumi..
Mdingi wang mpk leo kuna mitaa fulani hapo yupo historia ya maeneo hayo dah anayajuwa vzr sanaa
Utotoni mm nlipendelea sana kukaa kino,mkunguni na blok 41 nkikuwa nkiendaga huko nakuona
Jau tu badaye vigogo kama walitonyana kukamata maeneo huko
Ukija huku tanesco,zile dar villa,my fair kote kulikuwa mabwawa tu

Ova
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom