Source of capital zipo nyingi tu.unaweza kuanzisha biashara hata ndogo tu,sema wanachuo wengi wanajifanya matawi na ubisho.
Unalalamika mtaji wakati una simu ya laki nane kwa wengine mtaji tosha kabisa.
Sa nyingine tuihurumie serikali sio kila kitu tunalaumu serikali na kuifananisha na nyingine wakati serikali zina uwezo tofauti.
Mi nashauri kila mtu atumie akili yake na ubunifu wake kujitafutia kipato na si kuilaumu serikali kwa sababu tumekuwa mzigo mzito kwa serikali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.