Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,380
- 56,095
hahahah nimecheka mkuu
yaani nimecheka lloh
hahahah nimecheka mkuu
Ximu ndo nini asee.!?
screen touch
Tunachokiweza ni kuiua mitaala ya elimu na ndo maana tumefuzu kwenye UJINGA
Big Result Now
Kwa kila secta na masuala muhimu tumeshindwa kama mpira tumeshindwa uchumi tumeshindwa kujitawala tumeshwa siasa tumeshindwa elimu tumeshindwa teknolojia tumeshindwa kilimo tumeshindwa hata kufikiri pia tumeshindwa.
Tumebaki taifa la watu wa kupigiana simu tu kutwa nzima, mtu anaongea na simu zaidi ya dakika 35 hata anachokiaongea hakieleweki.
Mbaya zaidi anatumia kuliko ana chokiingiza.
anakula kwenu? nani kakupa wewe jukumu la kumkomboa mtanzania? usiseme "tumeshindwa" sema "nimeshindwa".
Kwa kila secta na masuala muhimu tumeshindwa kama mpira tumeshindwa uchumi tumeshindwa kujitawala tumeshwa siasa tumeshindwa elimu tumeshindwa teknolojia tumeshindwa kilimo tumeshindwa hata kufikiri pia tumeshindwa.
Tumebaki taifa la watu wa kupigiana simu tu kutwa nzima, mtu anaongea na simu zaidi ya dakika 35 hata anachokiaongea hakieleweki.
Mbaya zaidi anatumia kuliko ana chokiingiza.
Wewe unayeweza mpaka sasa umelifanyia nini taifa?
Hata rais, makamu wa rais na waziri mkuu nao wanalalamikaSi vyote tumeshindwa mfano tuna A ya kulalamika. Mtu anamlalamikia mwenza, mwalimu, polisi, mchungaji, imamu wake, serikali ndo usiseme hata mvua isiponyesha
Wasiojua kusoma, kuandika na kuhesabu zaidi ya 5200 wafaulu darasa la saba na kuingia sekondari! Kuna uzi humu JF jamaa kashangaa alipo kumkuta binti mhitimu wa chuo kikuu akiwa hawezi kuandika barua ya kikazi. Hao waliofaulu wakiwa ahawajui kusoma, kuandika na kuhesabu ndio kesho watakuwa madaktari wa kupasua matumbo yenu, viongozi wenu wa siasa kama rais, wahasibu walimu, wanasheria nk Hapo ndipo mtakapolia kilio na kusaga meno. Big Results Now!Tunachokiweza ni kuiua mitaala ya elimu na ndo maana tumefuzu kwenye UJINGA